Sirari: Wananchi wampambania mwenzao asitekwe!

Sirari: Wananchi wampambania mwenzao asitekwe!

Its Tesha

Senior Member
Joined
Oct 6, 2025
Posts
168
Reaction score
608
Hali ilivyo Sirari usiku huu baada ya Watu wasiojulikana kumteka mtu wananchi wamekomaa wakafunga barabara dakika ya mwisho watekaji ikabidi wakimbilie kituo cha Polisi Tarime ili kujiokoa.



Muda huu Sirari tarime baada ya tukio la kutekwa kwa mmoja wa wafanyabiashara, mapambano ya polisi na raia yanaendelea.​
 
Muda huu Sirari tarime baada ya tukio la kutekwa kwa mmoja wa wafanyabiashara, mapambano ya polisi na raia yanaendelea.
Kwa hiyo wasiojulikana (yaani watekaji/wauaji) sasa wanajulikana?!

Inasemekana huko Comoro miili inakutwa kwa wingi ikielea

Hii ni fedheha na aibu kuu kwa wenye dhamana ya kulinda watu na mali zao
 
Back
Top Bottom