Suala la kufa kila mmoja hulijuwa vema - issue ni kabla ya kifo umetimiza sehemu ya ndoto zako?
Hakuna mwanadamu aliyewahi timiza majukumu yake, .
Hata kama utamuua mwenzako sababu ya tumbo ni bure
Suala la kufa kila mmoja hulijuwa vema - issue ni kabla ya kifo umetimiza sehemu ya ndoto zako?
Unajidanganya, siasa imewshinda fanyeni mengineAlafu pia naona ana akili za kiform-two
Huwa najiuliza sana hapa huwa mnafikiria nini? Kwamba askari mwenye mafunzo aache kituo aje kwako kusikiliza umbea? Au aache kuimarisha familia yake aje kusikiliza makelele yako ambayo anayapiga kwa ukijisikia tu!"Kutoka ofisini kwangu hadi Kituo cha Polisi ni mita 300 na kutoka ofisini kwangu hadi kwenye makazi ya polisi ni mita 50 na wakati askari wanafanya gwaride nikiwa ofisini kwangu nawasikia na lengo la mimi kupiga kelele ilikuwa ni kutaka msaada"
Pole, yaonekana ulipenda sana atishike awalilie, aunge mkono juhudi zenu za kuua uchumi wa nchi hii. Kamwambie Nebukadneza kuwa, Mashujaa waja kwa wingi, kasi yaongezeka. AmenAnatafuta sababu atiwe ndani ili ajione shujaa kama Mandela.
Huwezi kuiona mpaka utakapokombolewa na mashujaa walojitoa kama Mdude.Huyu dogo angetulia aendelee na maisha yake tu sioni faida anayopata kuongea ongea hovyo
Naona huijui maana halisi ya ushujaaHuwezi kuiona mpaka utakapokombolewa na mashujaa walojitoa kama Mdude.
Angekuwa na uniform za kijani mngeacha malindo nyie maboya mnatumwa kama majini tu! shenzy type rudisheni kodi zetu stupid!!Huwa najiuliza sana hapa huwa mnafikiria nini? Kwamba askari mwenye mafunzo aache kituo aje kwako kusikiliza umbea? Au aache kuimarisha familia yake aje kusikiliza makelele yako ambayo anayapiga kwa ukijisikia tu!
Basi hao siyo polisi bali ni mabodigadi wako, na kama ulikuwa na akili hiyo bora ukakae mbali tu
Hivi kwani watekaji huwa wanjitambulisha kwa majina?, ama mtu anayekuteka lazma umjue jina. HEBU JARIBUNI KUFIKIRI UPANDE WA PILI.Jamaa aliposema alipoteza fahamu hajui kilichoendelea kajikuta porini siku ya ngapi tangu kutekwa nikajua tu hii ni namna ya kukwepa kueleza ukweli.
Kama alifanyiwa mambo ya kigiriki ni kwamba hajui kitu.
Walichomtendea jamaa hawezi kuelezea ukweli halisi. Ataleta hadithi za wenzie wote waliopitia tukio kama lake. Hawezi kuwataja wazi wazi ni nani.
Tushukuru karudi mzima mengine anajua yeye na watesi wake.
Pole ndg, anaetukana hufunguliwa mashitaka. Wanaokosoa ndio wanatekwa ili kuwanyamazisha. Hao ni mashujaa.Naona huijui maana halisi ya ushujaa
Yaani huyu bwana mdogo anatukana viongozi hovyo ndio mnamuita shujaa?
Tumieni basi hata akili kidogo jamani
Bora kijani wanajielewa! Huyo mwendawazimu anayewashwa makalio ana thamani gani kuacha lindo? Wakamuacha akafumuliwe marinda barabara, hembu mumuulize vizuri kuhusu chupa ya bia anayoisemaAngekuwa na uniform za kijani mngeacha malindo
1. Kama kweli ww una akili, hivi mtu unayemteka unaweza kumwambia jina lako?.Atazunguuuka weee ila kuwataja kwa majina hatoweza japo ndio kiu yetu kubwa.....naweza sema atatupotezea muda tu.wabongo hawana ujasiri huo
S. 35 (1) damage the REPUTATION of any person in relation to:-1. Kama kweli ww una akili, hivi mtu unayemteka unaweza kumwambia jina lako?.
2. Mdude anawajua watekeji wote kwa majina yao?
3. (Hata kama anawajua) angewatambuaje wakt yupo eyes masked ?.
4. (Chukulia anawajua) akiwataja kwa majina, je wewe/vyombo vya dola hatua gani utachukua/vitachukua dhidi ya watekaji? (Kama haohao ndo anawatuhumu)
5. Akiwataja kwa majina, je wewe HUONI KWAMBA WANAWEZA KUMFUNGULIA MASHTAKA MAHAKAMANI KUMDAI FIDIA YA UDHALILISHAJI WA KUWASHUSHIA HESHIMA KWNY JAMII, Je ushahidi wa kudhibitisha hilo atatoa wapi wakati walimu_ambushi/surprise.
=== Hivi mnakula maharage ya wapi siku hizi ===
Yaan ww unawaza tu kumshambulia adui ila huwazi jinsi ya kujikinga na adai pindi naye atakapokushambulia.
Professional, or
TradeMpuuzi kweli yule! Kuna sehemu kuna bata kama hapa nchini? Hasa ukiwa na nguvu za kupata mia mbili tatu za kula?Jeuri ya kutaja anayo???Na sasa atakuwa na adabu atapinga kwa kutumia maneno ya staha. Akitaka kutukana basi atuige sisi atumie ID fake. Unless kachoka kuishi. Maisha matamu sana jamani. Hasa ukiwa bado kijana mwenye nguvu na afya njema.




ujitambuiBora kijani wanajielewa! Huyo mwendawazimu anayewashwa makalio ana thamani gani kuacha lindo? Wakamuacha akafumuliwe marinda barabara, hembu mumuulize vizuri kuhusu chupa ya bia anayoisema