Sandinistas
JF-Expert Member
- Jul 5, 2013
- 2,615
- 1,777
Na leo tunachanganya Kiswahili na kizungu ilimradi tuonekane tumekwenda shule.
Kwenda shule siyo hoja. Hoja ni kuelimika na hivyo kustaarabika. Kuelimika ni kuwa rational, objective na kuheshimu raia wenye mtazamo tofauti. Kuchanganya lugha haiwezi kuwa issue. Kuandika kizungu peke yake ambayo nayo ni laugha rasmi ya nchi hii si mtasema ni usaliti? Je, viongozi wetu wakuu wanaowasiliana na wananchi moja kwa moja mubashara wanapochanganya wanajionyesha kuwa hwajaenda shule?