Mdude Chadema awaanika waliomteka

Bora kijani wanajielewa! Huyo mwendawazimu anayewashwa makalio ana thamani gani kuacha lindo? Wakamuacha akafumuliwe marinda barabara, hembu mumuulize vizuri kuhusu chupa ya bia anayoisema
Najua huna marinda wala uzazi umekabidhiwa SMG na huoni thamani ya utu kalale
 
Jeuri ya kutaja anayo???Na sasa atakuwa na adabu atapinga kwa kutumia maneno ya staha. Akitaka kutukana basi atuige sisi atumie ID fake. Unless kachoka kuishi. Maisha matamu sana jamani. Hasa ukiwa bado kijana mwenye nguvu na afya njema.
Yaani na wewe unapenda kutukana! Onikamaja gete!
 
He's struggling to build his political carrier.
Awe makini asijekupata tofauti na anachokitafuta.
 
Hivi kwani watekaji huwa wanjitambulisha kwa majina?, ama mtu anayekuteka lazma umjue jina. HEBU JARIBUNI KUFIKIRI UPANDE WA PILI.

Na, je akitaja jina/majina wewe utawafanya nn waliotajwa?.
Una point.
 

..Mdude amefungua kesi dhidi ya IGP, AG, na askari watatu wa jeshi la Polisi.

..anawatumu kwa kuhusika na kumtesa na kumshikilia[ kumuweka rumande] kinyume na sheria.

..kesi hiyo imesajiliwa Mahakamani. Na askari anaowatuhumu amewataja kwa majina na force number zao.

Cc falcon mombasa
 
Mdudu akili zake anazijua mwenyewe. Eti FBI waitwe kuja kuchunguza tukio lake. Bavicha bwana bwahaaaa....hahaaaa...hahaaaa!
 
Bro kama kweli wewe ndiye ninayekufahamu, mnachokifanya sio sahihi.
Na ninakwambia kama ndugu na mdogo wako.
Bro uliingia uaskari ili uwalinde wale wasioweza kujilinda na sio kuumiza waliokwishaumizwa.

Hebu fikiria kitu!
Nikiwaambia watu humu ukweli kuhusu wewe na alipo shemeji na madogo unadhani watakuwa salama?

Brother umewahi kunisaidia na niliheshimu sana msaada wako ila kwa haya unayofanya sasa hapana!
Sio utu, sio ubinadamu!
Ataje tuone. Napita kwenye ka kiosk kake kila siku kafunga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…