Mdude ameuawa?

Ndio maana kuna watu walishauri angalau kwa sasa asirudi haraka. Afanye kazi hiyo mhimu kwanza akiwa huko huko aliko.
Huo utakuwa mchango mkubwa zaidi ya ule ambao anaweza kuufanya akiwa katika mazingira magumu zaidi.

Zaidi ya kumtegemea yeye pekee, inabidi hivi vyama vyetu vya siasa vilivyopo - CHADEMA na ACT- Wazalendo waweke mkazo mkubwa sasa kushirikisha Jumuia ya Kimataifa kuiangalia kwa karibu zaidi hali yetu hii inayotukabili.

Mbinu za kupambana na watawala hawa kwa kudhani wananchi pekee ndio watakaoweza kuibadili bila ya msaada toka nje, inaonekana haitawezekana. Wananchi wanatiwa woga, hasa hivi vyombo vyetu vya kuwalinda wananchi vinapoamua kuwa sehemu ya kuwakandamiza.

Ndio, ni jukumu letu sote, wananchi raia wa nchi hii kujikomboa, lakini itabidi tuombe msaada wa kutuwezesha kujikomboa, vinginevyo haitawezekana.
 
kwa nini CCM huwa hawatekwi?
Hapa Jukwaani kuna story flani hivi ya Peter Zakaria.
Kada wa CCM Tarime.
Aliwanyuka shaba maafsa usalama aliodai kuwa walijaribu kumteka.
Sijui jamaa bado yuko nyuma ya nondo au la
 
Watatekwa vipi wakati wao ndiyo watekaji, unataka wajiteke wenyewe?
Yaani Bash boy atekwe au Musiba au mmoja wa kundi la 'wasiojulikana' yaani kale ka'Mafia squad ndani ya kitengo.
Mtu hajiteki mwenyewe japo yule dogo Nondo alishazushiwa kajiteka baadaye wakaona aibu na wakamtema.
kwa nini CCM huwa hawatekwi?
 
Nilisema bila foreign intervention huyu hataacha. Idd Amin bila foreign intervention angelikuwa labda mpaka leo anaua waganda. Huyu mtu ni kiburi sana. Lisu abaki huko huko aweze kuhamasisha dunia ione kwa karibu kinachoendelea Tanzania. Hii inatosha! Hapana! Kwa ndani ni ngumu sana maana huyu hata mass killings atafanya!
 
Kama wamemuua watakuwa ni watu wa ajabu sana kutokea Tanzania; haya yote ni matunda ya CCM kutuletea watu wa zama za kale.
Ni hatari kama kuua litakuwa jambo la kawaida.


mmekuwa watu wa ajabu sana endeleeni kupiga ramli
 
Inasikitisha sana kwa kweli tunavyofanyiwa.hivi kutokea mpaka lini?
 
CHADEMA imejaa wanafiki tupu, hivi mlishindwa kumkanya mapema kwamba akosoe bila kutukana? Mlikua mnafurahia matusi yake saivi mnavimbisha midomo ee, mimi nasema hivi wamsurubishe tu maana hana adabu na hana watu wanao mtegemea mpuuzi mkubwa
Kwa maana hiyo unakiri katekwa na kuuawa na aliokuwa anawakosoa si ndiyo
 
Kama wamemuua huyu kijana basi wamefanya mistake kubwa mno!. Sidhani kama katika hili wata go away easily!. Hawa watu mikono yao imeloa damu, ni wanyama hawa siyo binadamu kabisa
Halafu mnamuona jiwe akizunguka madhabahu utadhani ni binadamu kumbe shetani
 
kama ni hivyo Waya myuga au kumtia kilema cha maisha! MUNGU aipishie mbali!
 
"Mass Killing" kwa bahati ya ajabu sana tuliiepuka wakati wa UKUTA. Haitatokea tena! Tumshukuru sana Mungu wetu, mlinzi wa Taifa letu. Ile ilikuwa nusra nusra.
 
CCM ni chama, na siyo mtu.

Chama kinaweza kutekwa?
Usijitoe ufahamu, stupid ass bitch. Anazungumzia viongozi wale heavy weights ndani ya chama, ni mmoja tu ndugu Nape aliyewahi kutishiwa na pistol hadharani na yule 'asiyejulikana' akaudhihirishia umma kuwa yeye ni mmoja wa untouchables kwani ile clip ilimuonyesha vizuri lakini polisi hawana jeuri hata ya kumuhoji japo kwa kutuzuga siye Wananzengo. Shame.
 
kama unaulizia picha ya Mdude, iko mitandaoni sana has a twiter. Jiongeze tu utaiona!
 
Hahahah eti "WAKATI WA UKUTA"
"Mass Killing" kwa bahati ya ajabu sana tuliiepuka wakati wa UKUTA. Haitatokea tena! Tumshukuru sana Mungu wetu, mlinzi wa Taifa letu. Ile ilikuwa nusra nusra.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…