Mdororo

Da Womanizer

JF-Expert Member
May 24, 2010
1,577
148
Leo nimesikia huu msamiati ukitumika, ningependa kujua kama ni msamiati sahihi na kama matumizi yake kwa mukhtadha wa hapa chini ni sahihi.

Wenyewe wanasema mdororo wa uchumi duniani. Mimi nilizoea kusikia kuzorota kwa uchumi duniani.

Udzungwa.
 
Back
Top Bottom