Mdomo ulimponza rafiki yangu ukweni

Mdomo ulimponza rafiki yangu ukweni

Dogo kwanza umepata kazi na hukai dada tena?
Kwanza hujui majira ya Sky Eclat yanatofautina na yako.
Pili unashindwa kuelewa si kila mtu anafanya kazi kwa mikono yake, wengine wanapanga kazi ya wiki kilichobaki ni usimamizi au kupokea ripoti.
Mwisho huyu amewahi kuomba chochote kwako au jf?
Fanya mambo yako achana na mrembo huyu
Ni shugamami wako nini anakutunza ndo maana unakuja Hapa kumtetea?

Au ndo gia za kutongoza kujifanya unatetea ili baadae inreturn upewe kitumbua? Fala sana we jamaa!!
 
Yap unanwokoa mkeo lkn mkifika ndani kikao kipya kinaanza upya, mkimaliza mnashushia tunda
Ahahahaha wadada wakikaa pamoja lazima wapige umbeya...ila huyu mume ana busara sana kuvunja kikao.
 
Nilitaka kujiuliza warumi kabadili uandishi saa ngapi kumbe ni mwingine.

Ila hata sijaelewa andiko lote.
 
Hapo la kujifunza ni kutokuwa na ujinga wa mume wa kuongea madhaifu ya mama yake mbele ya mshkaji wake waliokutana ukubwani na kuamua kukaa geto moja (mke)...
 
Huwa napata tabu kusoma visa vya huyu dada. Nachukua mda sana kuelewa...
 
Mwanaume gani hana kaba[emoji23][emoji23][emoji23]
Mtu kama huyo hata usikie habari gani humwambii.

Nimempenda mume wa huyo shosti yako kwa kukaa upande wa mkewe
 
Back
Top Bottom