Bora huyo wakike,mimi kuna wanangu wawili walimkuta dem wa mshkaji wetu anajiuza pale meridian,ile kishkaji wana wakamchana mshkaji bwana dem wako sio mchunguze,lahaulaa...jamaa kaenda kwa dem kukiwasha dem akapindua meza,"unasikiliza maneno ya watu?huniamini?niambie waliokwambia la sivyo mimi na wewe basi"ikabidi jamaa anywe kila kitu[emoji23][emoji23][emoji23]
basi jioni moja tumekaa zetu grocery store ya pale mtaan dem kaja na kikosi kazi,suta sana washkaji kimyaa[emoji23][emoji23][emoji23]!!
siku zote,usimwambie mtu kitu chochote kuhusiana na mpenzi wake waswahili wanasema "usiku mrefu" [emoji23][emoji23]