Duh hi nchi imefika pabaya kiasi hiki hatuaminiane tena, ndani kwa ndani.Mdogo wangu jana aliukuwa anasafari ya kutoka Dar kwenda Morogoro, wakiwa wameshatoka Stendi ya Magufuli hata kabla hawajaliacha jiji hilo, wakasimamishwa na Wanausalama, wakaombwa vitambulisho, yeye na wenzake kadhaa hawakuwa na ID zozote wakati huo.
Wanausalama hawakutaka kuwalewa wakaamua kuwashusha na kuwaambia warudi walipotoka.
Hivyo ndugu zangu sasa hivi ukitaka kusafiri hakikisha unakitambulisho, hata kama ni katika mishe zako za hapa town hakikisha umejiandaa, hali ya upepo siyo nzuri.
Yani kutembea na kitambulisho ni kufika pabaya.... Nakuongezea pia jitahidi pamoja na kitambulisho tembea na bima ya afya pia UTANISHUKURU BAADAE.Duh hi nchi imefika pabaya kiasi hiki hatuaminiane tena, ndani kwa ndani.
Ukidai haki ujiandae kutimiza wajibu.Haki imeanza kusimamiwa vizuri, mlisema hamtaki amani mnataka haki.
Umetisha sanaaa ikisimamiwa vilivyo milio itasikika tu bado kidogo... Wajibu pia uanze kutekelezwaHaki imeanza kusimamiwa vizuri, mlisema hamtaki amani mnataka haki.
Vima nyie icc inawasubiriaYani kutembea na kitambulisho ni kufika pabaya.... Nakuongezea pia jitahidi pamoja na kitambulisho tembea na bima ya afya pia UTANISHUKURU BAADAE.
Tupo tulipo kwa sababu tuliishi kwa mazoea zaidi mambo yamebadilika
Sasa chief kosa liko wapi hapo kutembea na Id mbona ni mambo ya kawaida sanaaaVima nyie icc inawasubiria
Kwa ibara ipi ya katiba ama sheria ya mwaka gani? Endeleeni kuvunja fundamental rights thinking you're the first on earth to be sitting in the government, dunia ishaona wengi tu na mwisho wao ulikuwa wa aibuSasa chief kosa liko wapi hapo kutembea na Id mbona ni mambo ya kawaida sanaaa
Tumemsikia Msigwa jana akililia haki......Haki imeanza kusimamiwa vizuri, mlisema hamtaki amani mnataka haki.
Mtu yuko 17Your Id please. Bro huna cha kura huna Nida aya umesahau huna ata soft copy ktk simu aya huna vyote basi hata barua ya serikali ya mtaa how can i trust you, umepata ajali umekufa tunaanzia wapi
Kawani wakiwa navyo hawawezI nukishaWanaogopa Kwa kuwa wajua wanaoenda Dar wanaoenda KUKINUKISHA tarehe 9/12/2025
Ni mazoea tu, utambulisho ni muhimu sana kwa kila mwananchi.Mdogo wangu jana alikuwa anasafari ya kutoka Dar kwenda Morogoro, wakiwa wameshatoka Stendi ya Magufuli hata kabla hawajaliacha jiji hilo, wakasimamishwa na Wanausalama, wakaombwa vitambulisho, yeye na wenzake kadhaa hawakuwa na ID zozote wakati huo.
Wanausalama hawakutaka kuwalewa wakaamua kuwashusha na kuwaambia warudi walipotoka.
Hivyo ndugu zangu sasa hivi ukitaka kusafiri hakikisha unakitambulisho, hata kama ni katika mishe zako za hapa town hakikisha umejiandaa, hali ya upepo siyo nzuri.
Air shengenaKwa bac gani mkuu