Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 13,214
- 20,988
Ni dada yangu wa mwisho katika familia ya wanaume 7 wasichana wawili.
Alikuwaga mzima na mwaka huu alitegemewa kuwa form 2 ila kuna watu wabaya wamemtupia vitu vya ajabu kiasi kwamba huwa anapandisha na akipandisha anasema shule hataki.
Sasa hivi yuko nyumbani tu na akipandisha huwa ni mateso makubwa kwake. Tumejitahid kumpeka hospitali, kwa waganga, kanisani ila hakuna nafuu yeyote hatujui tufanye nini kwakweli.
Kwa wenye exprience na haya mambo ushauri tafadhalini.