Mdogo wangu kapata nafasi ya Chuo nje ya nchi, Msaada tafadhali.

Kheri Hansen

JF-Expert Member
Jan 20, 2018
1,025
1,235
Hamjambo wadau,

Mdogo wangu kapata nafasi ya Chuo nje ya nchi, je atumie hizi taasisi zinazojishughulisha kusafirisha wanafunzi nje kama vile The Global Link au aende yeye kama yeye? I mean, taasisi hizi zina facilitate nini, faida na mapungufu yake ni yapi?

Thanks
 
Hebu fafanua vizuri...

Kusoma nje ya nchi ni zaidi ya kupata chuo jambo ambalo ni rahisi tu!!

Issue ya msingi ni: Je, amepata chuo na scholarship au alichopata ni admission peke yake ambayo kimsingi ni rahisi kupata!!

Kama amepata chuo/admission na scholarship, basi hana haja ya kutumia wakala wakati ameshamla ng'ombe wote yeye mwenyewe na kilichobaki ni kamkia tu!
 
Ni chuo gani Mkuu ??.
 
Kama kapata, kwanini atumie wakala?
Wakala kama global anacharge 600 usd
Oh sikua najua...so haina haja ya wakala? maana walidai ati wanarahisisha travel logistics na pa kufikia etc.
 
Hebu fafanua vizuri...

Kusoma nje ya nchi ni zaidi ya kupata chuo jambo ambalo ni rahisi tu!!

Issue ya msingi ni: Je, amepata chuo na scholarship au alichopata ni admission peke yake ambayo kimsingi ni rahisi kupata!!

Kama amepata chuo/admission na scholarship, basi hana haja ya kutumia wakala wakati ameshamla ng'ombe wote yeye mwenyewe na kilichobaki ni kamkia tu!
Yeye kapata admission na scholrship. Asante kwa ushauri mkuu.
 
Hamjambo wadau,

Mdogo wangu kapata nafasi ya Chuo nje ya nchi, je atumie hizi taasisi zinazojishughulisha kusafirisha wanafunzi nje kama vile The Global Link au aende yeye kama yeye? I mean, taasisi hizi zina facilitate nini, faida na mapungufu yake ni yapi?

Thanks
Watanzania bwana taabu sana. Yaani yeye aliomba hiyo nafasi bila hata kuwa na details? Mentality ile ile ya "Sign the contract first and get clarifications after?" Mtakuja kukuta sharti ni kwamba ukifika kule lazima ukubali kuwa shoga - ohooo!
 
Umeandika vyema ila umeharibu mwisho tutumie lugha vizuri
 
Mpe pesa ya malezi kuanzia kama $1,000. Atafute kazi, kusafisha pu pu za wazungu ni flexible anaweza kupiga weekend na kwenda darasani.
 
Hamjambo wadau,

Mdogo wangu kapata nafasi ya Chuo nje ya nchi, je atumie hizi taasisi zinazojishughulisha kusafirisha wanafunzi nje kama vile The Global Link au aende yeye kama yeye? I mean, taasisi hizi zina facilitate nini, faida na mapungufu yake ni yapi?

Thanks

KUPATA CHUO NJE NI BURE, RAHISI, NA SIMPLE (KWA LUGHA YA WAZUNGU) - KAMA ANA UWEZO WA KIFEDHA SHIDA NI NINI SAS?
 
Ukitumia wakala imekula kwako

Hapo wewe andaa mazingira, omba admission letter uanze process za Visa na mambo mengine
Ukimaliza hapo kata ticket mengine wasiliana na chuo husika
Andrew's wana hostel zao, wasiliana ma deans kupitia email watakujibu hata kupokelewa atapokelewa
 
Hamjambo wadau,

Mdogo wangu kapata nafasi ya Chuo nje ya nchi, je atumie hizi taasisi zinazojishughulisha kusafirisha wanafunzi nje kama vile The Global Link au aende yeye kama yeye? I mean, taasisi hizi zina facilitate nini, faida na mapungufu yake ni yapi?

Thanks
Kama Ana scholarship it's ok Kuja .atafanya kazi school campus at 20 hours a week F1 student visa .Awe mwangalifu sana na watanzania asijichanganye hivyo .Tamaa sio Nzuri ishi kwa kiwango chako.Panda basi Kama ukiweza.Dont you ever finance a car .social security number yako iwe Siri yako .Self discipline .USE CONDOM maana usijeukajikuta unalipa child support.Ingia shule tafuta girlfriend mwenye Urania Funga Ndoa badilisha status.Focus Achana na uswahili umbea umbea mademu wasio na mpango .Try to use cash Kama Hauna cash kunywa chai na mkate.Relax and avoid I repeat avoid wabongo..America Ni self discipline and law and order Hakuna madeal.
 
Ushauri uloshiba kiufipi afu ulojaa maono
 
Back
Top Bottom