Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,893
- 16,318
- Thread starter
- #161
Upo kama mdogo wangu, yaaani hana interests kabisa na visherehe shereheDah,mm graduation ya mwisho kuhudhuria Ni ya form 6,na Ni ya sababu ilikuwa boarding sikuwa na pa kukimbilia,halafu graduation za sekondqri huwaga kabla ya kumaliza mtihani, kuanzia degree,masters Wala professional board sijawah kufanya graduation,Sasa hoja za waty wanasemaga huna picha ya joho?? Nawaambiaga kwani elimu hupimwa kwenye joho??mahafal za vyuo hazijawahi kuniimpress kabisaa sijui kwa sababu hufanyika siku nyingi Sana mbele bqada ya kumaliza masomo??
Sent from my CPH1909 using JamiiForums mobile app