Mdogo wake mume wangu amenitongoza

HAINAGA USHE..............TUNAKULA........[emoji23] [emoji23] [emoji23] TABU YA KUOA WAKE VILAZA NDIYO HII...WANAUME TUWE MAKINI
 
njia panda kufanyaje?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]wee jamaa ni mwehuu sanaaa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Sasa nimeamini MWANAMKE NI NYOKAAA...!! Yani mtu na kaka akee wameishi kwa amani mpaka wamekuwa watu wazimaa wew Shetwaniiiii na genyee zakoo unataka kujaa kuwagombanisha...wauane...familia ipasukee...daah
 
Hujiulizi kwann kakutongoza!!?unajilengesha.mno kwake yawezekano uko cheap sana kwa unvyojiweka
 
Usitudanganye hapa lazima umeshampa, umenogewa sasa unataka kujifanya ni mtakatifu. Endelea kumpa.
 
We Utakuwa na Nyota Ya Umalaya ...aiseeee , Note: Kujiongeza ndio somo pekee lisilokuwa na sylabus....
 
Na akimvulia chuppi akatombwa ndio mwisho wa kuharibu ndoa yake mwenyewe.

Anafanya mazoea ya kitoto na shemeji yake aje kumsingizia shetani
Ndo hapo sasa mazoea gani hadi ya out na kunywa pombe?
 
Mpe akutafune kwani anaacha kidole humo kusema kaka yake atajua....
 
Mambo madogo unataka yaonekane makubwa!ningekuwa mi huyo dogo kweli ningekushika kwa nguvu na ungeniachia nyapu kilaini tuu.maana unaonyesha una kiwingu we mwanamke
 
Inamaana kwel hujui LA kufanya au unatukebehi? Kama ingekuwa mkweli ungemwambia mumeo iweje sisi invisible ndo unatutaka ushauri?
 
Makabila mingine enzi zile, Kaka akifariki dogo anakuridhi labda sababu ilikuwa ni hii.
 
Una kila viashiria vya kutaka kumpa huyo shemeji yako! Kimbia zinaa sio nzuri mumeo akijua itakuwa balaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…