Mdogo wake mume wangu amenitongoza

yani mimi kabisa uyo...... sjui kwa nn siwezagi kuvumilia mazoea na mwanamke
yan uknizoea tuu lazma nikutongoze

na uktaka nkuheshimu mazoea yawe kdogo.. ukzidisha tuu naktongoza fasta yan
pia siezagi hata kua na urafki na mwanamke asee labda uwe dem angu
 
uko njia panda??
 
Wewe ndiye uliemtengenezea mazingira yote hayo!...Kama unabisha ask me how!
 
Itakuwa wewe ndio unamtaka sasa umemfikishia ujumbe kwa njia tofauti, naye akikubali mtumie zana kwani kama kuna magonjwa utaua kaka na mdogo wake
 
hapo maamuzi ni yako kama unampa au la..ila kumbuka pia kuwa ukishampa hamtaishia leo tu huo mchezo utaendelea na ipo siku mmeo atagundua.
na hapo atakuwa ameua ndege wawili kwa jiwe moja
yaani wewe anakuacha na mdogo wake undugu unakufa.
 
Hauko serious mkuu yani uko njia panda? Kwelii??!!!
Itakuwa una vielement vya kutaka dushe ya shemejio.
 
Mmnh....Naona dalili za mtu kuliwa na shem yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…