Nguva Jike
JF-Expert Member
- Jan 22, 2018
- 1,267
- 1,819
Habari za wikiendi!
Mume wangu hayupo yapata wiki ya tatu amekwenda Rwanda kibiashara hapa nipo na mdogo wake yupo chuo mwaka wa tatu Udsm.
Tumeishi Kwa kutaniana sana kila siku kama kitu na mumewe.Chakula huwa namuwekea mezani tunakula pamoja siku za wikiendi tunakwenda out bila woga.
Leo tukatoka mpaka bahari zoo maeneo ya Tanganyika nyuki tulipotoka tukaenda kwenye msonge Fulani kupata lunch na vinywaji kadhaa.
Nilipata castle nne na yeye alimeza Dompo moja cha ajabu sikutegemea kabisa akaniomba penzi bila aibu huku akisema tufanye siri kaka asijue.
Nilipatwa na kigugumizi sijamjibu mpaka hivi sasa nipo chumbani kwangu nimejifungia na alikuja kugonga mlango nikamchunia.Nipo njia panda sijui nifanyaje jamani.