Mdogo wa bashe atimuliwa

SILENT ACtOR

JF-Expert Member
Apr 9, 2011
627
181
Mgombea uongozi serikali ya wanachuo UDOM kutoka Social campus ambaye ni mdogo wa Hussein Bashe, ametimuliwa na wanachuo kitivo cha elimu na kushindwa kumalizia 'speech' yake. Amelazimika kupanda gari na kuondoka akiwa na wapambe wake wenye huzuni baada ya wanachuo kudai ataiweka serikali yao mikononi mwa Bashe, ambaye ni mwajiliwa wa RA.
 
Ahsante mwana JF kwa kuleta hii nondo kwani ni sahihi kabisa kwa wana dom kutuondolea uonzo wakina RA kwanza i wonder why their still in TZ to eat our taxes they should leave the country and go to their countries.
 
Huyu kama sio raia hivi imekuwaje mpaka anakuwa mbunge? Au kawahonga mpaka TISS!
 
Hata raia wa kigeni siku hizi wanaruhusiwa kugombea uongozi kwenye serikali za wanafunzi? Mbona walimzuia yule Mganda wa UD mwaka juzi?
 
Masikini Bashe family na u-mzigo wake kwa CCM; kila upande, gamba tu hadi na huko UDOM nako wanatolewa nduki?????????
 
Hata mimi nilishuhudia tukio hilo na mimi ni mwanafunzi wa UDOM. Nasema sitaki hata kumuona au hata kumsikia. Aondoke zake. Narudia tena kuwa hatumtaki mdogo wa Bashe kwani CCM walishasema kuwa ukoo wa Bashe siyo raia wa Tz.
 
Naam,huu ni ujumbe tosha kwa jamii kwamba tumechoka kuchezewa akili na watu wachache ambao walijidai wajanja katika nchi hii.Binafsi nilishuhudia tukio hilo pale 'Block T'.Nafikiri huyo dogo anahitaji kufunzwa jinsi ya kusoma alama za nyakati.
 
Ni haki ya kila raia au mwanachuo kugombea uongozi!lakini kwani hao bashe family lazima kwelii wagombee kila wanachokiona??au ndio mbinu jipenyeze kadri uwezavyo kujiweka sawa kuishi bila bugudha?maana suala lao uraia bado kitendawili!!wangetulia tu
 
Moto wa Mageuzi uliowashwa UDOM sijui kama kuna mtu wa kuuzima,heko simamieni haki na sheria za nchi ili kuleta maendeleo ya kweli kwa wananchi,nanyi mujue ni chuo chenye rasimali wanafunzi wengi zaidi komaeni hivyo hivyo
 
Moto wa Mageuzi uliowasha UDOM sijui kama kuna mtu atakuja kuuzima,Heko wna UDOM musiwe munaletewa makapi michwa wanaotaka kutumbukiza pua zao kila mahala,Duu,kazi kwelikweli komaeni nyie ndio chuo chenye rasimali wanafunzi wengi na wenzenu chuo cha UDSM,SAUT na vingine munaweza kubadilisha hii nchi ikawa pepo kwa kukataa nchi kuendeshwa na mafisadi na uzao wao
 
Afadhali kwa kumpiga chini huyo dogo ndo wale2 wanataka kuanza kukwea kiaina kisiasa.
 
Afadhali kwa kumpiga chini huyo dogo no wale2 wanataka kuanza kukwea kiaina kisiasa.
ndio njia pekee ya kuweza kujihakikishia unapokuwa mkimbizi kwenye nchi za watu mfano kinana.bashe.rostum.na wengine wengi tu wabunge wote wenye asili ya asia uraia una utata
 
Back
Top Bottom