Geechie JF-Expert Member Oct 26, 2015 977 761 Jan 2, 2017 #1 Hii ilikuwa ni October 3,2016. Na hii ni leo baada ya kumfunga Westham Halafu mchambuzi uchwara mmoja huwa anashikilia tu takwimu za timu za wenzie ilihali hajiulizi Chama Lake limekaa namba sita kwa Muda gani.
Hii ilikuwa ni October 3,2016. Na hii ni leo baada ya kumfunga Westham Halafu mchambuzi uchwara mmoja huwa anashikilia tu takwimu za timu za wenzie ilihali hajiulizi Chama Lake limekaa namba sita kwa Muda gani.
muhomakilo jr JF-Expert Member Jul 28, 2013 14,813 12,862 Jan 3, 2017 #2 Yeah mdogomdogo tutafika tu..