Mdogo angu kadanganywa mimba yake

Mdogo angu kadanganywa mimba yake

Jamaa kasingiziwa kiboya sana. .ndio akome kuendekeza genye. .Daah aibu sana
Msije mkamdanganya kuwa mtoto ni wake. Mtoto anayezaliwa na miezi saba atakuwa hajakomaa (premature au njiti). Kwa maelezo yako ni kwamba mtoto amezaliwa na afya njema. Hii ni kusema mimba ilitungwa kabla ya mwezi Desemba 2018 (kwa vyovyote vile ni mwezi Novemba au hata kabla). Huyo shemeji yenu aongee vizuri.
 
Kuna show moja kule USA inaitwa:- Maury Show aiseee imenifunza mengi sana juu ya hawa wanawake.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
We boya sana unasingiziwaje

Huu uzi unatia hasira ungekuwa karibu yangu nikupiga chupa ya kichwa
 
Haina haja ya DNA akitumia ujanja atamwambia ukwel nan mwenye mali
 
Jamaa kasingiziwa kiboya sana. .ndio akome kuendekeza genye. .Daah aibu sana
Siyo genye ila ni mapenzi. Kwa waliowahi kupenda wanajua huu mchezo maana hauhitaji hasira. Mnapoachana mwanamke huwa rahisi sana kuingia kwenye mapenzi mapya kwa kulipa kisasi au kujiliwaza huwa wana msemo wao "Ukiona cha kazi gani, wenzako wanauliza watakipata lini?, "Ukisusa wenzako wala" ila kwa sisi mameni huwa tunasema wanawake ni wale wale.
Na watu mliokuwa mnapendana huwa kuna uwezekano mkubwa sana wa kurudiana au kama hamjarudiana lazima mkumbushiane.
Ni ajali kama ajali zingine.
 
Miaka ya nyuma mke wangu alinitembelea nikakaa nae kwa muda mwezi mzima, ndani ya huo mwezi tulipima mimba kama mara akawa hana, aliporudi dalili zikaanza akapima akawa ana mimba, ile mimba alikaa miezi 8 kama ya huyo wenu, hiyo mimba inaweza kuwa kabisa ni huyo mdogo wenu.
Huku ukuryani tuna msemo wa kitanda hakizai haramu.
 
wiki ya 36 sawa ila huyu hajafika hiyo wiki. ukipiga hesabu vzr kuanzia Desemba 3 hadi July 1, hazifiki hizo wiki 36.
Navyo fahamu kuanzia wiki 36 mtu anaweza jifungua japo inakuwa kachanga kwa hesabu za la 3B iyo mimba imefikisha 36 miezi ko uwezekano wa mtoto kuwa wa dogo upo na uwezekano wa sio wake upo yaani 50/50

alafu dogo aache janja janja mtoto wake huyo fanyeni kulea
 
Miaka ya nyuma mke wangu alinitembelea nikakaa nae kwa muda mwezi mzima, ndani ya huo mwezi tulipima mimba kama mara akawa hana, aliporudi dalili zikaanza akapima akawa ana mimba, ile mimba alikaa miezi 8 kama ya huyo wenu, hiyo mimba inaweza kuwa kabisa ni huyo mdogo wenu.
Huku ukuryani tuna msemo wa kitanda hakizai haramu.
Wanadai wataalamu mimba ya miezi 8 mtoto hawezi ishi. miezi 7 sawa tena anaitwa njiti
 
Nakubaliana nawe mkuu. Mapenzi hayana mjanja
Siyo genye ila ni mapenzi. Kwa waliowahi kupenda wanajua huu mchezo maana hauhitaji hasira. Mnapoachana mwanamke huwa rahisi sana kuingia kwenye mapenzi mapya kwa kulipa kisasi au kujiliwaza huwa wana msemo wao "Ukiona cha kazi gani, wenzako wanauliza watakipata lini?, "Ukisusa wenzako wala" ila kwa sisi mameni huwa tunasema wanawake ni wale wale.
Na watu mliokuwa mnapendana huwa kuna uwezekano mkubwa sana wa kurudiana au kama hamjarudiana lazima mkumbushiane.
Ni ajali kama ajali zingine.
 
Sasa alipokuwa anadinyana bila kinga alitarajia wazungu watokao wanaenda kutengeneza mapapai?
Hajakataa mimba jua hilo vzr, anachokataa muda wa kutungwa mimba na kuzaliwa mtoto mwenye afya(sio njiti).
 
Huoo uko wenu Inaonesha hamjitambui, mnakaa vikao Kujadili Watu ambao hawajaoana? Mmekosa kazi za kufanya!
 
Msije mkamdanganya kuwa mtoto ni wake. Mtoto anayezaliwa na miezi saba atakuwa hajakomaa (premature au njiti). Kwa maelezo yako ni kwamba mtoto amezaliwa na afya njema. Hii ni kusema mimba ilitungwa kabla ya mwezi Desemba 2018 (kwa vyovyote vile ni mwezi Novemba au hata kabla). Huyo shemeji yenu aongee vizuri.
Hapo ni kweli mtoto si wa mdogo angu. Kama mdogo angu atarudisha Huruma basi alee mtoto ila ajue kabisa si wake, na ipo siku baba ake mtoto atakuja.
 
Asante mkuu kwa maneno. Ila sio ukoo, nimeandika ni familia tu. Suala hili ni dogo kwako ila limeumiza hisia, limepotezea muda, gharama n.k.
Huoo uko wenu Inaonesha hamjitambui, mnakaa vikao Kujadili Watu ambao hawajaoana? Mmekosa kazi za kufanya!
 
Wanadai wataalamu mimba ya miezi 8 mtoto hawezi ishi. miezi 7 sawa tena anaitwa njiti
Sidhani kama ni kweli, ila huwa wanahesabu wiki 36 ambazo Ukipiga kwa njia ya kawaida ni miezi 8.
 
Back
Top Bottom