Mdogo angu kadanganywa mimba yake

Mdogo angu kadanganywa mimba yake

Asante mkuu kwa maneno. Ila sio ukoo, nimeandika ni familia tu. Suala hili ni dogo kwako ila limeumiza hisia, limepotezea muda, gharama n.k.
Dah, Mkuu Kuna Gharama gani kulea mimba zaidi ya Nauli ya kwenda clinic?
Huyo dogo si alishamuacha huyo demu? Alipomuacha wenzie walimmega akapata mimba, it's simple amuache tena km alivofanya mwanzo!


Kwa taarifa yako ukiachana na demu km Bado anakupenda Mara nyingi Sana Huwa anatafuta mtu haraka Sana amle Mzigo ili kupunguza stress na maumivu ya kuachwa!
 
Tulishaona Irene wengi walivyo malaya, ila pia mdg wako atakuwa mkundu mkundu. Unaanzaje kusex na mwanamke mlieachana for months bila kumkagua afya yake.

Mie binafsi siwezi fanya huo utoto, huyo alikuwa na mimba kamvalisha jumba bovu mdogo wako. Dogo lako alivyo kiazi amejaa yani. Kuna mambo mengi mwanamke akikupenda sana ukamkacha anaweza hata kukufanyia mambo ya wizard kupitia sex.
 
Back
Top Bottom