Nyambala
JF-Expert Member
- Oct 10, 2007
- 4,465
- 1,170
Wakuu kuna hii habari hapa chini:
Tanzania imepewa Tuzo ya Umoja wa Mataifa ya Millenium Development Goals (MDGs) 2010 : The Global Heabeat kutokana na mafanikio makubwa iliyoyapata katika maendeleo ya Elimu katika sherehe zilizofanyiaka kwenye ukumbi wa Waldorf Astoria Grand Ballroom jijini New York Septemba 19, 2010. Pichani Waziri Mkuu Mizengo Pinda akipokea tuzo hiyo na kutoka kwa Mmoja wa wasimamizo wa shughuli hiyo na Msanii maarufu , John Schneder.
Kwanza kabisa naomba ifahamike I am not in the page of "They fail, we win"
Ila nna maswali ambayo naomba wanajamii mnisaidie:
1. Hiyo tuzo iliyopewa Tanzania imetolewa na oganaizesheni gani?
2. Tunaambiwa kwamba Tanzania na Malawi ndiyo zimepata tuzo hiyo, je katika MDGs zingine nchi zipi wamepewa zawadi?
Eradicate extreme poverty and hunger
Achieve universal primary education
Promote gender equality and empower women
Reduce child mortality
Improve maternal health
Combat HIV/Aids, malaria and other diseases
Ensure environmental sustainability
Develop a Global Partnership for Development
3. Mwaka jana ni nchi zipi zilipewa tuzo hiyo???
4. Nini vigezo vya kupata tuzo hiyo????
5. Huyo jamaa anayempa tuzo mh. Pinda nahusika vp na haya masuala ya MDG;s?
6. Hii habari ya Tuzo hizi inapatikana wapi zaidi ya kwenye blogs za Tanzania?
7. Tuzo hii ina uhusiano wowote na nini kinachoendelea on the ground?, stats kama enrolment ya wanafunzi shule ya msingi per capita ukilinganisha na miaka iliyopita, literacy rate,mahudhurio, mimba mashuleni (Primary schools) etc.
8. Kwa nini Ban ki Moon hajatoa pongezi kuhusu mafanikio haya ya Tanzania na Malawi?
9. Nani walihudhuria (wakuu wa nchi) kwenye sherehe za utoaji hizo tuzo?????
8. Ni nchi zipi ambazo kuna kila uwezekano zitashindwa kufikia MDGs?
My take
Isije ikawa kuna kijioganaizesheni kinachojipromoti kupitia MDGs kimetupa hiyo tuzo na sisi tukabweteka. Na as for this timing ikatumika for political gains.