Fitinamwiko
JF-Expert Member
- Aug 13, 2012
- 4,803
- 1,419
Usiwe mvivu wa kufanyiwa kila kitu, google uone faida na hasara za GMOKukataliwa kitu nchi nyingine sio kigezo cha tanzania kukataa pia. Sio kweli kuwa GMO zinaleta utaahira. Ila sababu za kulinda wakulima wetu ndio kubwa zaidi. Nadhani mdee hajafikia uwezo mzuri wa kulijengea hoja hili. Swala liko kwenye mjadala wa kimataifa. Mdee ni lazima ajue faida na hasara za GMO. Angefafanua kwa wana jf kuhusu hasara na faida zake kwanza asilete siasa.
Acha upimbi matusi ya nguoni ni yapi?hivi choo cha kike ni tusi zaidi ya Fu** you...lililotolewa na CCM.Siku zote nitaendelea kusema halima si mwadilifu hapo tena kapuguza chuoni alikuwa na matusi yale ya nguoni balaa.
Acha upimbi matusi ya
nguoni ni yapi?hivi choo cha kike ni tusi zaidi ya Fu**
you...lililotolewa na CCM.
ni lugha ya kifalsafa,kama hujaelewa jinyonge....ajira mpya za masisiem kwenye mitandao....
Ben Saanane , Mwenye aibu ni wewe unaye plagiarize hata phrases bila aibu hata ku-acknowledge ulikopakuwa kama msingi wa uandishi unavyotuasa.Duh Bigirita usimuaibishe namna hii.
Haya maelezo hapo juu yametoka kwenye forum ya Wanaigeria katika link hii,Never in the history of Tanzania have we descended to this level of shame, ridicule and sham in our political fraternity and it is a pointer to things that will follow should we continue to trivialize its sensitivity.
Don't take watu hapa JF for GRANTED. Dude!.Our country has only seen a similar case of this travesty of justice with the annulment of June 12 Presidential elections. But even at that, it was not this void of reason and substance. Never in the history of Nigeria have we descended to this level of shame, ridicule and sham in our judiciary and it is a pointer to things that will follow should we continue to trivialize its sensitivity.
naunga mkono hoja mia kwa mia.....hapo kwenye red huyo jamaa ni janga la kitaifa,nina wasiwasi na u dr wake....tunasema kila siku "hawa wabunge wa chadema wana uzalendo wa kutisha"!kwa kifupi monsanto ni janga.wasomi mko wapi?mnangojea madhara yakishatokea ndto mfungue vinywa vyenu?mumsaideni mdee kwa kumpa jk data za monsanto katika nchi mbalimbali duniani.jk labda ameshauriwa na watu aina ya dr bana.
Lugha aliyotumia mdee siyo nzuri
Monsanto is an evil company! sijui kwa nn wataalamu wa Tanzania wanashindwa kueleza kwa uwazi hatari itokanayo na GMO?Lakini mimi naona Raisi hajaingizwa....kaingia mwenyewe choo cha kike kwani yeye gogo?
Wabunge weetu yanimwigulu na lusinde wamewahathiri kweri. Hebu wajitahidi kufikisha ujumbe bila rugha za kuudhi wengine
Lugha aliyotumia mdee siyo nzuri
Nikiitaja wizara nitakua nimevunja sheria za JF kwa kuwa si tayari jina litakua limejulikana?Najua huko aliko anashangaa kumbe hata kwa aID hii anajulikana?Bora arudie tu ID yake ya mwanzo