Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,580
- 18,222
Ni vizuri na wewe ukatusaidia wengine kutueleza huyu ni Naibu waziri yupi?
naona na wewe umerukia kumponda huku wengine tukibaki hatuwaelewi...
Halima Mdee kaja humu JF akakuta thread hii inayozungumzia MONSANTO na sera ya kilimo Tanzania:
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...kwanza-imeandikwa-kwa-msaada-wa-monsanto.html
Lugha aliyotumia mdee siyo nzuri
kwani ni uongo, jamaa mbona ni kawaida kuingizwa choo cha kike.
Heshima kwako mkuu.Nikiitaja wizara nitakua nimevunja sheria za JF kwa kuwa si tayari jina litakua limejulikana?Najua huko aliko anashangaa kumbe hata kwa aID hii anajulikana?Bora arudie tu ID yake ya mwanzo
Sasa kama kwa panya madhara yamekuwa haya jee kwetu sisi na watoto wetu? Halima yuko sahihi kama hali ni hii basi huyu kiongozi wetu sii tuu kaingizwa choo cha kike bali hadi bafuni kabisa.
halima mdee ana hoja nzuri lakini lugha ya kihuni anayotumia inafanya hoja yake idharaulike
. smile, hivi choo cha kike huwa kinakuwaje?
Lugha aliyotumia mdee siyo nzuri
halima mdee anaitaji pumziko la nafsi ndiyo maana anapenda kuropoka ovyo.
Sio kama..... Huo ndio ukweli,hawana kabisa.Vibarua wa lumumba mnavohangaika........... kama hamna akili timamu hivi !!