Mdee: Ni Enzi za 0 na 1

akili ni nywele mkuu. kila mtu ana zake.

na wewe hizo ndiyo akili zako mkuu
mkuu hilo tusi kubwa saana utapewa bun, yaani mwenzio anaakili za kishogashoga na usagajisagaji, MKUU HILI TUSI KUBWA MWOMBE MSAMAHA BWANA! yaani hana cha kufikiri zaidi ya hayo!
 
Dawa pekee inayofaa kuondoa madoa,uchafu na harufu mbaya ndani ya CCM ni wafe wote na MUNGU awaumbe wa2 wapya waje waiongoze CCM na 2cdanganyane eti wazee ndio chanzo
 
CCM very conservative kuna watu ilibidi wawe wanakula pension kwa sasa ila bado wamo tuu na akili zao mgando

wale wote ni vilaza sijui ni nini wanchookifanya huko bungeni
bora hilo bunge lifutwe tu na kuachwa Madiwani, mana huko ni ufujaji wa ppesa tu
 
Back
Top Bottom