Mdau: Unapenda kula kitimoto ipi?

Asttaghafulilah, tusiharibiane swaum kwa kujadiri haramu mchana wa Ramadhani.
Mkuu, ukisema ushindane na wana JF utaumia bure. Sometimes watu wanaku provoke makusudi ili uropoke/utukane ule BAN NDEFU. Mada zingine kama hizi wala usiwe unazisoma kabisa. Pita kimya kimya!
 
mate tu yanitoka hapa kuona mdudu huyo roast japo me napenda mdudu roast aliemixiwa mamichicha anakuwa poa sana,japo Kuna mnyamwezi anachoma mdudu pale mbezi karibu na St.Joseph hatari sana mdudu wake wa kukaushwa.
 
Gavana ukuje huku usimulie utamu wa roasted head ya mbuzi Katoliki
f89e89c63cea1f7c1f26676fd871b539.jpg
na ubongo wake
a6577b49a4884482936e15cf5aeaaa8e.jpg
unavyo shushiaga na ka-laga kanakotoa jasho
1d73398e39e346ef584abb3d49a9eea5.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom