Mdau: Unapenda kula kitimoto ipi?

Mdau: Unapenda kula kitimoto ipi?

Rosti....Upate na kapilipili kwa mbaaalii... Na serengeti 😵.... Mpk udendaa jmn😅😅😅
 

Attachments

  • GBWA-20180713212138.jpg
    GBWA-20180713212138.jpg
    39.3 KB · Views: 37
Nakumbuka miaka ya nyuma nikiwa pale mbeya MAMA JOHN kuna vibanda walikua wanakaanga hii kitu kiustadi sana...ngoma inakaushwa vema..ndizi inaminywa vizuri inakauka fresh...kakibanda kanamoshi ndani ila unaemjoy sana huku machozi ya kikulenga kwaajili ya moshi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom