Mdau: Unapenda kula kitimoto ipi?

Mdau: Unapenda kula kitimoto ipi?

Nmeibeba.. Ni survey hii hii nayoufaham au ipo nje ya mji?
dogo mbona unazingua, piga hiyo simu tukuwekee order yako. muda ukizid masaa mawili toka uweke order na hujatokea tunaiuza kwa mtu mwingine
 
Kumbe ww ndo muuzaji..But tuheshimiane mkuu. Nliuliza Ili nipate uhakika sidhan kama nmekosea.. Labda kama kitimoto yako si ya dunia hii hutak watu wajue location.
 
maswali na bei umepunguziwa mpaka 5,000/= kwa mwezi huu
 
Back
Top Bottom