Mdau: Unapenda kula kitimoto ipi?

Kuna chimbo flani amazing mitaa ya sinza nyuma ya DOUBLE VIEW hoteli mnakaa chini kwenye majamvi ka vile mpo madrasa
 
Rosti shata shata.. Rosti mboga mboga au kavu.. Embu tupe ujuzi wako mdau..Vipi kuhusu viungo.. Unapenda iwekewe viungo au unataka ule ikiwa na ladha yake tukufu?
kuna chimbo kariakoo sema lipo jirani na muuusiiikiiitiii naona kipindi cha mfungo inapukutika sana mida ya kimbilimbili night muuza kila nikimuambia aniwekee utasikia imebaki kidogo nikagundua napo enda kuweka oda napishana na watu wenye ndevuuu nyingi huku zimenona kiwese
 
NAOMBA LOCATION YA HILO CHIMBO MKUU.. MANA MM NI MDAU WA KARIOKOR KWA SANA...
 
Ushushie na haka kajamaa
1f97876fa875a1e6ab230e9a38eff008.jpg
 
Back
Top Bottom