Mdau: Unapenda kula kitimoto ipi?

Hii kitu safi sana aise.mimi nikiwa arusha kila weekend lazima nitie miguu pale star light bar mianzini nisuuze roho na hii kitu yakuchoma.ila kuna swali najiulizaga.kua hivi kwanini hivi vitu vilivyowekewa masharti na marufuku mengi kua tusivitumie huwa ni vitamu sana.Nadhani kuna siri kubwa hapa.
 
Kitimoto ya maana ipo moshi kibororoni kwa mlomboo

Wewe ni Shehe,Tena masjid Quiblaten huko Kariakoo,Kabila ni Mzigua maana kwa uongo umepitiliza.

Eti Kitimito kwa mromboo ,Kiboroloni,Stupid wee,Mromboo ni Chugga na kule kuna Mbuzi tu,Kiboroloni ipo Untonye Ukononze,
 
Napat wapi kitimoto kigamboni

Kama ni mbichi inapatikana maeneo ya mbuyuni kama unaendavijibweni.kituo kinachofuata baada ya kituo cha uzunguni.kuna kitimoto buchry

Nilikuwa nakulaga kipindi hikooo lulu maeneo ya mji mwema ila kwa sasa nasikia imebadilishwa jina na sina uhakika kama bado wanapika ile kitu
 
Wewe ni Shehe,Tena masjid Quiblaten huko Kariakoo,Kabila ni Mzigua maana kwa uongo umepitiliza.

Eti Kitimito kwa mromboo ,Kiboroloni,Stupid wee,Mromboo ni Chugga na kule kuna Mbuzi tu,Kiboroloni ipo Untonye Ukononze,
umepandwa majini nn? unaleta story za kujuana hapa? live your life
 
King of table (pork) sio nyama ya mchezo mchezo wazungu wenyewe wanaitambua natoa ofa kwa mwanajamii forum yeyote aliye wilaya ya Nachingwea. Mkoani lindi tutafutane jioni ya Leo baada ya kazi 0783848802 kanisani kwa father makota
 
Back
Top Bottom