SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,753
Mbichi unakula ukiwa umevaa nguo kweli?Me napenda mbichi
Mbichi unakula ukiwa umevaa nguo kweli?Me napenda mbichi
Well kwa upande wa majini nadhani ni story enye ukweli flani which was rumoured mda xaxa! As u know since zamani most of Majinis apparently ni majini wenye majina ya Maimuna! Aisha! Jini Hadija! Jini Rukia! Jini Shabani! Jini Jafar! Nk nk,Sasa mkuu as we all know hawa majini if u observe them by their names utakua ushajua ni waumini wa imani gani na ofcourse Mdudu na imani ya Majini hawa haviendani!Sasa ukiondoa mafuta yote.. Majini yatakimbiaje.. Mana nasikia mafuta yake ni bomu la machozi kwa majini
and yap hata mfupa its bealived ukiweka ndani scary majini's they wont bother u a myth

bwaaaaaah Maalimu nenda kachukue mwenyewe bwanaMkuu hawafanyi home delivery hapo..?

Kindly! Kindly! Nambie hii kitu maeneo gani! Hatar hatar! Location plse!Hatariii
Hii ni arusha mkuuu ... balaaa tupuKindly! Kindly! Nambie hii kitu maeneo gani! Hatar hatar! Location plse!