Mdau LiverpoolFC Apata Msiba

Mdau LiverpoolFC Apata Msiba

Nashukuru sana MSALANI na leo tumemhifadhi mzee wetu kwa uweza wake Mungu na kila kitu kimekwenda kama ilivyoratibiwa Mkuu!
Natambua Kheri zenu nyingi sana jamani na ninawashukuru sana tena sana!
PakaJimmy hakika nikupe shukurani nyingi ya jitihada zako pamoja na member wengi wa Arusha wing walioungana nami kwa namna moja ama nyingine mpaka hapa tulipofikia.

Copy kwa Mzee wa Rula Filipo Preta Arushaone Tonykp sweetlady Lily Flower Blaki Womani Crashwise Mungi Valentina TheDealer Jackbauer lane Lasikoki Yericko Nyerere Malila marejesho Dark City na bila kuwasahau wote waliojumuika nami kwa namna moja ama nyingine nawashukuruni sana bila kumsahau Ndugu yangu Pazi na Kaizer popote pale walipo.
 
Last edited by a moderator:
Mkubwa,
KUMEKUCHA TENA.
NIPe ripoti mipango inaendaje...
Natambua kuwableo ndio siku maalum ya kumpumzisha baba yetu mahala pa salama, nazidi kumsihi Mungu alisimamie suala hili mkamalize salama.
Naamini utatujuza maendeleo.

Kila la heri mkubwa.

Mkubwa kila kitu kimeenda kama ulivyotarajia Ndugu yangu! Kwa kweli ilikuwa ni wakati mgumu sana ila kwa uweza wake Bwana wetu kila jambo limetendeka kama tulivyotazamia!

Tu pamoja kabisa Mkubwa wangu!
 
Leo tutaanua tanga ya Mzee wetu ndugu zangu!
Ninawashukuru member wote waliofika katika thread hii na hata wale waliopitia na bila kuweka comment nawashukuru sana!
Hakika Jf kwangu imekuwa sehemu kubwa ya nafsi yangu ya kuanika chochote kile iliyo nafsini mwangu wandungu.
Majaliwa kabisa asubuhi na mapema nitakuwa njia moja hapo nyumbani kwa Mzee wangu Damiano Dahaye bila ya kukosa pamoja na Ndugu na hata jamaa nilioambatana nao hiyo baadae tayari kabisa katika ibada fupi itakayofanyika hapo nyumbani kwake majira ya saa tano ya asubuhi bila ya kukosa.

Wale wote walionitakia KHERI nyingi pamoja na sala nafsini mwao nasema na Mwenyenzi MUNGU awape moyo huo huo siku zote za maisha yetu jamani!

SINA MENGI ZAIDI YA KUWATAKIENI BARAKA ZAKE BWANA IWALINDE DAIMA.

Copy kwa PakaJimmy Blaki Womani Mzee wa Rula Preta Mungi Crashwise Loner Mtumishi Wetu Arushaone Mtambuzi Valentina Kaizer Filipo Mchaka Mchaka Lily Flower na wote wale wa mbali na hata Arusha wing wote!

Asanteni sana kwa ushirikiano wenu wa hali na mali!
 
Last edited by a moderator:
Naaaam! Nashukuru sana Mkuu!

Pole sana swahiba. Nasikitika ndo naiona hii habari. Mungu aendelee kuwapa moyo wa subira. Tafadhali nifikishie salamu za rambirambi kwa shemeji yetu.

Roho ya marehemu ipate rehema kwa Mungu, apumzike kwa amani. Amina.
 
Mkubwa nakwambia haya yalitokea halafu sikuwa na nambari yako ya simu kwani zile vimeo vyote nilivyokuwa nazo wamepita nayo watoto wa mjini nimesahau kuweka lock gari hapo town nikakuta wameinyatia na kwenda nazo.
Na kunipa wakati mwingine mgumu wa kuwapata marafiki wangu wakubwa kama wewe! Kwa kifupi kama thread toka kwa PakaJimmy inavyojieleza ni ndivyo ilivyo Asprin Mzee wangu huyu ametutangulia mbele ya haki majira husika na hivi ndiyo naelekea huko nyumbani kuanua tanga ndugu tulioafikia ya kwamba ni leo. NiPM nipate nambari yako Mkuu!
Asante sana!
 
Pamoja sana mkuu.

Chapchap sana inbox.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom