Mdau LiverpoolFC Apata Msiba

Mdau LiverpoolFC Apata Msiba

Pole sana swahiba. Nasikitika ndo naiona hii habari. Mungu aendelee kuwapa moyo wa subira. Tafadhali nifikishie salamu za rambirambi kwa shemeji yetu.

Roho ya marehemu ipate rehema kwa Mungu, apumzike kwa amani. Amina.
Na mimi sina namba yako...hebu niDIPU kama wewe unayo yangu!...la sivyo huna iweke kwenye PM FASTA!
 
Pole sana Mkuu na familia yenu yote. Nimechelewa kuiona taarifa
 
Pole mkuu. Mungu awajalie uvumulivu..tell you what...Manure hawatoki on 16th
 
Mungu amlaze mahali pema peponi...Mungu awape nguvu kweny hiki kipind kigum mkuu@LiverpoolFc
 
Poleni sana kwa msiba hii ndio naiona hapa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom