Elections 2010 Mdahalo wa wagombea urais 2010

Status
Not open for further replies.
Mkuu unajua hii ni initiative yetu wenyewe na tunajipangia wenyewe. Kwa kuangalia karibu najua debate inatakiwa iwe mwezi wa 10. Maandalizi yanatakiwa mwezi wa nane yawe yaameanza na mengine yatataka fedha hivyo kwa mtizamo wangu ni kuwa by 15 September fedha zote ziwe zimepatikana ingawa itapendeza kama watu watatoa mapema ingalau walio wengi ili maandalizi yaweze kufanyika.

Tunachoitaji sana kwa sasa mpaka ni ahadi yako ili tuweze kujua kiasi gani tunaweza kusanya ili tujue tunachukua TV gani na debate ni ngapi. Kumbuka pia kuwa Tv cheap ni TBC according to data from Pasco so tunaweza kujikuta huko kwa uchache wa resources.

Shujrani kwa kuonesha nia
Mkuu naanza na 50,000/=
 
Na mie nachangia 50,000 TZS.

Natamani sana nione Kikwete anavyoumbuka. Nimewadharau sana CCM, of all the people mnaenda kumpa Kikwete aongoze for the second term. Mnaonyesha sio chama makini kabisa. In fact CCM imeweka historia kwa kuwa na kiongozi hopeless kama huyu. Huu ndio mwaka ambao nathubutu kusema kuwa Mungu amesikia malalamiko yetu na ametupa opportunity kufanya mabadiliko. Ni sisi tuamue tunafanya mabadiliko au tumeamua kubaki kwenye tope la umasikini unaotokana na uongozi mbovu wa CCM.

Nawaomba watu wote makini Tanzania na hii ni pamoja na wana CCM, askari wote, wanajeshi wote na hata usalama wa Taifa mgeukeni huyu jamaa na msimtetee, acheni mambo yaende kwa haki ili tuwaweke wezi wa mali ya umma pembeni. Kamwe hawawezi kutushinda.

Lets decide NOW!!
 
Peace! Chesty asante kwa kuamini visivyo aminika. lazima wawepo wenye kuthubutu na wanaopenda vitendo kuliko maneno!
 
Mzee nami nitatoa laki 2 lakini kama mgombea wa Chadema hayupo basi sitoi.

Mtwa hayo maneno ya MS aliyatoa kabla ya Dr kutangaza kuwa atagombea. Yeye alikuwa anaombea Chadema isisimamishe mgombea. Sizani kama Chadema ni kuwatalia shaka!
 
Mtwa hayo maneno ya MS aliyatoa kabla ya Dr kutangaza kuwa atagombea. Yeye alikuwa anaombea Chadema isisimamishe mgombea. Sizani kama Chadema ni kuwatalia shaka!

Asante Shalom kwa ufafanuzi huo. nilimaanisha kwenye mdahalo.
Thanx so much kwa mwongozo
 
sio lazima kila mtu achangie si unaona kuwa watu chache sana wamereply hapa? nenda kaangalie topic za mipasho utakavyoona wengi, we need real people here
Shalom, asante kwa hili, mimi pia nitachangia to start with logistic support na technical support incase hautafanyikia kwenye TV station. Ili kufanya mdahalo mzuri, minimum zinahitajika 4 pro digital cameras za DIVCAM, zikipatikana HDV ni vizuri zaidi.
Kokodisha OB Van ya TBC ni 4.M per hour which is the cheapest altenative.

Waziwasi wangu ni Mkwere sio tuu atakataa kwa sababu hajiamini, bali atashauriwa hivyo na Chama chake kwa vile Dr. Slaa is not his match, atamgalagaza kwenye mavumbi. The same applies to Zanzibar, kuitisha mdahalo wa Seif na Dr. Shein, ni sawa na kuizika rasmi CCM kwenye kaburi la pamoja.

All and all, lets hope for the best, but also be prepared for the worst, one thing for sure, whataver donation collected for this cause, is not wasted no matter what.

Long live JF.
 
Mkuu tayari nimezimuvuzia 50,000/= kama Tigo voucher(credits) kwa Maxence.
 
Mkuu tayari nimezimuvuzia 50,000/= kama Tigo voucher(credits) kwa Maxence.

Kisoda2

God bless you!. ka zawadi chini ( nimenukuu please)

You cannot win the race,
unless you follow through.
You cannot blame the others,
for it all depends on you.

You cannot win the battle,
if you do not raise your sword.
You cannot claim a victory,
if there is no reward.

You cannot shape the future,
if you wait until it's here.
The future has no purpose,
if you live today in fear.

Your future lies within your hand,
to do with what you may.
For tomorrow brings results,
of what you've done today.

The choices that you make today,
reflect the life you seek.
But first of all, the seeds are sown,
before the gardener reaps.

The future's like a lump of clay,
you hold within your hand.
As time goes by, the clay gets hard,
so mould it while you can.

Failure is an attitude,
that haunts the mind of man.
But, results will be successful,
for the one who knows HE CAN!
 
Dah hii sredi sikuiiona kwa jinsi nilivyo na machungu lazima nijikakamue.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom