Elections 2010 Mdahalo wa wagombea urais 2010

Status
Not open for further replies.
kwa mtazamo wangu midahalo kama hii hutayarishwa na vituo vya tv kibiashara zaidi,
wao wanatumia muda wa prime time kwa sababu ya kutazamwa na wengi. Makampuni
yanayopenda kutangaza bidhaa zao huvutika zaidi katika vipindi kama hivyo na muda
kama huo ili bidhaa zao ziweze kufahamika na wengi.

hiyo imekaaje: Oct, 2010??
 
Wapendwa,

Kwa TZS 100,000 watu 100 JF tunaweza kuandaa mdahalo wa urais.

Muda wa kupiga domo umekwisha je? Tunataka na mwaka huu kusiwe na mdahalo kama 2010? Je unadhani kuna mtu mwingine wa kuanzisha hili swala zaidi ya JF? Mimi nadhani haiwezekani. Basi kama unaona hili jambo ni zuri na uaweza support basi orodhesha jina lako hapa ili tuwape moyo viongozi wetu wa huu mtandao waweze kufanya mambo makubwa. Kama kuna chama hakitashiriki basi ni kivyao vyao

Tafadhari siitaji matusi na kejeli ukiona hili wazo halifai nenda kwenye topic zingine.

1. Shalom TZS 200,000
2. Nyani Ngabu $500 (TZS 750,000)
3. Invisible TZS 300,000/=
4. De Novo TZS 200,000/=
5. Lusajo L.M TZS 50,000/=
6. Mchukia Fisadi TZS 50,000/=
7. Mtu wa Pwani TZS 1,000,000/=
8. Chakaza TZS 100,000/=

Jumla so far ni TZS 2,650,000 Thanks wazalendo kwa kuwa tayari kutengeneza historia!

Ongeza Tshs50,000 ya kutoka kwa Ntemi Kazwile
 
HAPA NDIPO PENYEWE. NADHANI KUNA UMUHIMU WA WAGOMBEA KUFANYA MDAHALO HUU, ILI WANANCHI TUPATE FURSA YA KUULIZA MASWALI. ITAKUWA VIZURI WAGOMBEA KUNADI SERA ZAO NA KUTETEA HOJA ZAO, BADALA YA HUU MFUMO WA WAO KUTUAMBIA NI NINI WAMEFANYA WAKITUMIA TAKWIMU AMBAZO HAZITAFITIWI. MUDA WA KUSEMA NDIO MZEE NA KUKUBALI KILA KITU TUNACHOAMBIWA UMEPITWA NA WAKATI. HUU NI WAKATI WA VIONGOZI WENYE NIA YA KUGOMBEA URAIS, KUTETEA HOJA ZAO MBELE YA WANANCHI NA WASOMI, WAKIWA NA VIDHIBITISHO. KIKWETE AKISEMA AMEFANYA KAZI KUBWA KUPIGANA NA RUSHWA, AOMBWE KUTOA VIDHIBITISHO HIVYO, SIO TU KUTUAMBIA ALAFU IMETOKA. HIVYO BASI, JIUNGE NASI KATIKA KAMPENI YA KUPIGANIA MDAHALO HUU KUFANYIKA, KARIBI Campaign for Presidential Debate in Tanzania 2010 | Facebook
 
Kwa mtazamo wangu midahalo kama hii hutayarishwa na vituo vya TV kibiashara zaidi,
wao wanatumia muda wa prime time kwa sababu ya kutazamwa na wengi. Makampuni
yanayopenda kutangaza bidhaa zao huvutika zaidi katika vipindi kama hivyo na muda
kama huo ili bidhaa zao ziweze kufahamika na wengi.

Mtazamo wako umesahau kuwa pia tume ya uchaguzi inatakiwa iwe huru, Askari walinde na kutunza amani na Civil Servant neutral! kama hayo hayatokei sisi tunataka tuwaamshe now and forever
 
HAPA NDIPO PENYEWE. NADHANI KUNA UMUHIMU WA WAGOMBEA KUFANYA MDAHALO HUU, ILI WANANCHI TUPATE FURSA YA KUULIZA MASWALI. ITAKUWA VIZURI WAGOMBEA KUNADI SERA ZAO NA KUTETEA HOJA ZAO, BADALA YA HUU MFUMO WA WAO KUTUAMBIA NI NINI WAMEFANYA WAKITUMIA TAKWIMU AMBAZO HAZITAFITIWI. MUDA WA KUSEMA NDIO MZEE NA KUKUBALI KILA KITU TUNACHOAMBIWA UMEPITWA NA WAKATI. HUU NI WAKATI WA VIONGOZI WENYE NIA YA KUGOMBEA URAIS, KUTETEA HOJA ZAO MBELE YA WANANCHI NA WASOMI, WAKIWA NA VIDHIBITISHO. KIKWETE AKISEMA AMEFANYA KAZI KUBWA KUPIGANA NA RUSHWA, AOMBWE KUTOA VIDHIBITISHO HIVYO, SIO TU KUTUAMBIA ALAFU IMETOKA. HIVYO BASI, JIUNGE NASI KATIKA KAMPENI YA KUPIGANIA MDAHALO HUU KUFANYIKA, KARIBI Campaign for Presidential Debate in Tanzania 2010 |
Facebook

Deddan

Kwenye face book pia unaweza kuwaambia watu waje kujiorozesha huku na pleadge zao tukifikisha 10M baada ya kuomba na kulialia eti wenye vituo vya TV waitishe mdahalo ( hii ni ndoto) sisi tulipie air time na kuandaa mdahalo.

Please note: Project hii itasimamiwa na JF na management yake siyo mimi nitakaye simamia au kukusanya pesa
 
naomba mtu aniambie mdahalo huu utafanyika live on TV??
kama jibu ni ndio,je utafikia % ya wapiga kura??
je huu MDAHALO utaweza vipi kubadili mentality au kuwaelimisha wale 70% ambao naamini hawana access ya mtandao au hata tv.....
mdahalo huu ni muhimu kama wapiga kura wengi wangekuwa na akili/mawazo ya wana-JF,otherwise mdahalo huu hautasaidia chochote,inabidi itafutwe njia nyingine ya kuelimisha wapiga kura.......wale 70% ambao wengi wako hukooooo ambako hakuna hata umeme......

Obvious huu ni upotevu mwingine wa muda na nafasi.

Lakini ngoja, kwani huwajui wabongo wanavopenda kujikip bize hata kama hakuna output??
 
Wapendwa,

Kwa TZS 100,000 watu 100 JF tunaweza kuandaa mdahalo wa urais.

Muda wa kupiga domo umekwisha je? Tunataka na mwaka huu kusiwe na mdahalo kama 2010? Je unadhani kuna mtu mwingine wa kuanzisha hili swala zaidi ya JF? Mimi nadhani haiwezekani. Basi kama unaona hili jambo ni zuri na uaweza support basi orodhesha jina lako hapa ili tuwape moyo viongozi wetu wa huu mtandao waweze kufanya mambo makubwa. Kama kuna chama hakitashiriki basi ni kivyao vyao

Tafadhari siitaji matusi na kejeli ukiona hili wazo halifai nenda kwenye topic zingine.

1. Shalom TZS 200,000
2. Nyani Ngabu $500 (TZS 750,000)
3. Invisible TZS 300,000/=
4. De Novo TZS 200,000/=
5. Lusajo L.M TZS 50,000/=
6. Mchukia Fisadi TZS 50,000/=
7. Mtu wa Pwani TZS 1,000,000/=
8. Chakaza TZS 100,000/=
9. Ntemi Kazwile 50,000/=

Jumla so far ni TZS 2,700,000 Thanks wazalendo kwa kuwa tayari kutengeneza historia!

Namna ya kuzilipa hizi pesa imekaaje wakuu. Nitasafiri next week ijayo.
 
Wakuu TUKO PAMOKO yangu weka 50,000 NIPE ACCOUNT YA mPESA,AU ZAP YA KUKU TUMIA.

Asante natasha kwa mchango wako. Mpango wa mdahalo huu ni kwamba utasimamiwa na JF (please sio mimi), hivyo michango yako unaweza kuituma kwa JF kama vile ambavyo unachangia kawaida. Mkuu wetu Invisible ndiyo atacoordinate, si hivyo ndugu Invisible? mambo yote yatafanyika kwa kuwashirikisha wachangiaji. Mimi mwenyewe kesho nitatoa 1/2 ya ahadi yangu.

Ukitoa usiache kuitaarifu bodi ili iweze ku update hesabu zake

Michango inaweza kutumwa kwa njia kuu nne:

1. Kwa walio nje wanaweza kutumia PayPal au Credit Cards au Debit Cards kwa kufuata link hii ( https://www.jamiiforums.com/payments.php) iliyo kwenye sahihi yangu (linapoonyesha dole gumba) na pindi mchangiaji anapoweka chochote tunakuwa notified nasi tunafanya kuwasiliana na mhusika ili aweze kupandishwa kwenda katika group la Premium Members.

Paypal users:

Send via email - macdemelo@gmail.com moja kwa moja itafika na utaarifiwa ndani ya dakika 60 kuwa mchango wako umepokelewa.

2. Njia ya pili ni kutumia Western Union au Money Gram na kutuma kwenda kwa Maxence Melo Mubyazi wa Dar es Salaam.

3. Njia ya tatu ni kutumia Bank accounts za Maxence kama ifuatavyo:

NBC:

Acc #: 033201064359
Jina: Maxence Melo Mubyazi

CRDB:

Account Name: Maxence Melo Mubyazi
Bank: CRDB Pugu Road Branch
Swift Code: CORUTZTZ
Acc No: 01J2092391800

4. Njia ya nne:

Unaweza kutuma recharge vouchers za tiGO, Zain, VodaCom au Zantel kwenda kwa Maxence - 0713444649 naye atakufahamisha kuwa kazipokea.

Mkuu Invisible Jisajiri na M-pesa kwani hii unaweza kwenda kwa agent na kutuma straight kwenye number yako!
 
Nitachangia tshs 50,000. mwambie JK aje kueleza maendeleo ambayo hayaonekani. Ila nina wasiwas na JK kuhudhuria, anaweza akaamrisha umeme ukatwe. Pia naomba gharama halisi ziwekwe hapa, kwani ningependa mdahalo usimamiwe na Jeneraly Ulimwengu sio TIDO tafadhali na naomba mchango wangu usipelekwe TBC kwa namna yeyote ile. Kama hatujafikisha kumlipa Jenerali, nitaongeza fungu la kuchangia.

Asante Muasisi Shalom.
 
Humu jamvini kuna waandishi wengi wa vyombo mbalimbali, kwa nini habari hii ya wananchi kutaka uwepo mdahalo wa wagombea Urais wasiipigie chapuo kwa uzito mkubwa kwenye vyombo wanavyoandikia ili hata mmoja wapo akikacha kuhudhuria mdahalo huo picha iwe wazi na ADHARAULIKE.
 
Asante natasha kwa mchango wako. Mpango wa mdahalo huu ni kwamba utasimamiwa na JF (please sio mimi), hivyo michango yako unaweza kuituma kwa JF kama vile ambavyo unachangia kawaida. Mkuu wetu Invisible ndiyo atacoordinate, si hivyo ndugu Invisible? mambo yote yatafanyika kwa kuwashirikisha wachangiaji. Mimi mwenyewe kesho nitatoa 1/2 ya ahadi yangu.

Ukitoa usiache kuitaarifu bodi ili iweze ku update hesabu zake

Michango inaweza kutumwa kwa njia kuu nne:

1. Kwa walio nje wanaweza kutumia PayPal au Credit Cards au Debit Cards kwa kufuata link hii ( https://www.jamiiforums.com/payments.php) iliyo kwenye sahihi yangu (linapoonyesha dole gumba) na pindi mchangiaji anapoweka chochote tunakuwa notified nasi tunafanya kuwasiliana na mhusika ili aweze kupandishwa kwenda katika group la Premium Members.

Paypal users:

Send via email - macdemelo@gmail.com moja kwa moja itafika na utaarifiwa ndani ya dakika 60 kuwa mchango wako umepokelewa.

2. Njia ya pili ni kutumia Western Union au Money Gram na kutuma kwenda kwa Maxence Melo Mubyazi wa Dar es Salaam.

3. Njia ya tatu ni kutumia Bank accounts za Maxence kama ifuatavyo:

NBC:

Acc #: 033201064359
Jina: Maxence Melo Mubyazi

CRDB:

Account Name: Maxence Melo Mubyazi
Bank: CRDB Pugu Road Branch
Swift Code: CORUTZTZ
Acc No: 01J2092391800

4. Njia ya nne:

Unaweza kutuma recharge vouchers za tiGO, Zain, VodaCom au Zantel kwenda kwa Maxence - 0713444649 naye atakufahamisha kuwa kazipokea.

Mkuu Invisible Jisajiri na M-pesa kwani hii unaweza kwenda kwa agent na kutuma straight kwenye number yako!

Mkuu nipe namba ya Zain nikurushie salio.. Bank foleni
 
Mkuu nipe namba ya Zain nikurushie salio.. Bank foleni

Mkuu nunua voucher za zaini halafu either mtumie Invisible ( 0713444649) au mPM hizo number. Sasa ukinutumia mimi unanijua? JF ina utawala na ndiyo itasimamia hili siyo mimi. Mimi ni mtoa wazo tu!

Asante kwa kuelewa na kuwa tayari kuchangia!
 
Mkuu Shalom,

Nimetuma kamchango kangu kwa Melo (CRDB) Bank, kwa kuwa siko TZ nimetumia online service, kwa hiyo Melo inatakiwa a-confirm
 
Mkuu Shalom,

Nimetuma kamchango kangu kwa Melo (CRDB) Bank, kwa kuwa siko TZ nimetumia online service, kwa hiyo Melo inatakiwa a-confirm

Yaaah! God Bless you!
 
Wapendwa,

Kwa TZS 100,000 watu 100 JF tunaweza kuandaa mdahalo wa urais.

Muda wa kupiga domo umekwisha je? Tunataka na mwaka huu kusiwe na mdahalo kama 2010? Je unadhani kuna mtu mwingine wa kuanzisha hili swala zaidi ya JF? Mimi nadhani haiwezekani. Basi kama unaona hili jambo ni zuri na uaweza support basi orodhesha jina lako hapa ili tuwape moyo viongozi wetu wa huu mtandao waweze kufanya mambo makubwa. Kama kuna chama hakitashiriki basi ni kivyao vyao

Tafadhari siitaji matusi na kejeli ukiona hili wazo halifai nenda kwenye topic zingine.

1. Shalom TZS 200,000
2. Nyani Ngabu $500 (TZS 750,000)
3. Invisible TZS 300,000/=
4. De Novo TZS 200,000/=
5. Lusajo L.M TZS 50,000/=
6. Mchukia Fisadi TZS 50,000/=
7. Mtu wa Pwani TZS 1,000,000/=
8. Chakaza TZS 100,000/=
9. Ntemi Kazwile 50,000/=
10. Natasha Ismail 50,000
11. MC 50,000
12. Nyambala ($100) 150,000
13. Selous 50,000

Jumla ya ahadi so far ni TZS 3,000,000 Thanks wazalendo kwa kuwa tayari kutengeneza historia!

Kaka mwisho wa kuchangia ?
 
Kaka mwisho wa kuchangia ?

Mkuu unajua hii ni initiative yetu wenyewe na tunajipangia wenyewe. Kwa kuangalia karibu najua debate inatakiwa iwe mwezi wa 10. Maandalizi yanatakiwa mwezi wa nane yawe yaameanza na mengine yatataka fedha hivyo kwa mtizamo wangu ni kuwa by 15 September fedha zote ziwe zimepatikana ingawa itapendeza kama watu watatoa mapema ingalau walio wengi ili maandalizi yaweze kufanyika.

Tunachoitaji sana kwa sasa mpaka ni ahadi yako ili tuweze kujua kiasi gani tunaweza kusanya ili tujue tunachukua TV gani na debate ni ngapi. Kumbuka pia kuwa Tv cheap ni TBC according to data from Pasco so tunaweza kujikuta huko kwa uchache wa resources.

Shujrani kwa kuonesha nia
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom