Mdahalo wa Katiba Ubungo Plaza 16/11/2014, mtoa mada mkuu Jaji Warioba

Nafikiri safari hii watu watajipanga zaidi na mie nitaenda. Zumbukuku yeyote atakayeleta vurugu atolewe marinda.
 
safari hii akijaribu lazima tuimbe mapambio...

Kama hili
Jamani parapanda, parapanda italia parapanda, jamani parapanda, parapanda italia parapanda.
Na huyo Paulo atakua amekwisha nyakuliwa, ooh atakwenda kumlaki na Shetani Jehanam X2

Huku wimbo laini wa Jim Reeves ukifuata. This world isn't my home, I am just passing by, my treasures are laid up some where beyond the blue....
 
Wewe kilaza jilinde wewe kwanza nyinyi wapuuzi chedema kazi yenu kuongea nyuma ya computer.Kama kweli wewe kidume weka picha yako namba ya simu

Namba ya simu wala sura havizuiii mdahalo kufanyika au kutokufanyika, kama vifanyio vyenu hamvitaki njooni muone
 
Kuna jambo ambalo hawa CCM bado hawajalielwa, labda ni kwa kuwa na uelewa mdogo ama wanafanya makusudi. kwanza watanzania wa leo sio wale wa miaka ya 50. Miaka hiyo ya 50 walikuwa wachache kufanya hila na udanganyifu ni rahisi ila kwa sasa ni ngumu sana. hiyo sio hoja yangu ya msing!

Hoja yangu ya msingi ni kwamba, kama hii katiba pendekezwa ni safi na ni kwa maslahi ya wananchi kwa mujibu wa ccm ni kwa ninin ccm iwazuie wanaoikosoa badala ya wao (ccm) kuleza uzuri wake ulipo. hapa namanisha kwa nini hoja zisijibiwe kwa hoja badala ya kutumia nguvu nyingi kama ambavyo inafanyika hadi kutaka kuleta vurugu.
 
CHAMVIGA Nimesoma tena leo comment yako, Asante kwa kua hatimaye unaanza kuuona ukweli. Nawaita akina MANI na zumbemkuu na Mohamedi Mtoi wakupe pongezi. Inaelekea mazungumzo yako na Muddy kipindi kile yamezaa matunda. Bado lusungo na Chabruma nao wanamwelekeo mzuri tu tatizo lao kubwa ni mmoja yuko Team Maembe na Mwingine Team Loh-hasa

Mbona huyo mmoja ni makonda?
 
Last edited by a moderator:
Atakachoongea warioba nahisi machozi yatakua yananitoka ninaumia kuona mzee kama warioba akitetea maoni yangu yaingie kwenye katiba kweli naamini mungu anamuona mzee huyu anachokisimamia ni kuwakomboa wanyonge mjaze nguvu aweze kutupa ukweli kwani sauti yako inachoma masikio ya watu wenye nia mbaya na taifa hili

Mkuu TDav, ni kweli inauma sana pale unapofikiri mzee kwa umri anapigana na wadhalimu kwa ajili ya sisi ambao muda mwingi tumelalamika nyuma ya keyboard tu...
 
Back
Top Bottom