Mdahalo wa Igunga 'The Tanzania We Want' kuoneshwa leo Star tv

ukiweza kuwa repoter, huku ngeleja na malima wanaenjoy kale ka trilioni na ushee
 
ukiweza kuwa repoter, huku ngeleja na malima wanaenjoy kale ka trilioni na ushee

Kafumu kaumbuliwa kwa kudanganya kuhusu mkandarasi....kadai ulimi umemteleza. Hivi sera yao ya kutohudhuria midahalo iliishia wapi?
 
mdahalo unaboa sana. kwanza siyo live.

pili wanaonekana ni kama wamerekodia shimoni hivi.

kitu pekee kizuri ni kwamba ndani ya ukumbi yupo Mtoto wa Kigoma.

kitu kibaya ni kwamba anayeitwa Dokta Kafumu anadangaya mdahalo na kakubali ulimi umeteleza.
 
kwa jinsi navyoona wa chadema anaweza kupita kwa sababu anafahamika pale,ila wa cuf kiboko
 
kumbukeni haya ni amrudio lakini ni mpya kwa ambao hawakuuona.star hawakulekodi vizuri.lakini ninhekua mpiga kura wa igunga huyu mgombea wa ccm angepata kura yake na mke wake tu coz hana point halafu anadanganya live bila woga anafikili watu hawajui mambo.kingine hajibu maswali aliyoulizwa eti yeye alikua anadeal na tanzania nzima kama kamishina wa madini siyo igunga tu na kazi yake ilikua kusimamia sheria sio kufuatilia wanaochimba madini eti wa kuulizwa kuhusu uchimbaji wa madini ni waziri siyo yeye.mia
 
mdahalo unaboa sana. kwanza siyo live.

pili wanaonekana ni kama wamerekodia shimoni hivi.

kitu pekee kizuri ni kwamba ndani ya ukumbi yupo Mtoto wa Kigoma.

kitu kibaya ni kwamba anayeitwa Dokta Kafumu anadangaya mdahalo na kakubali ulimi umeteleza.

Mkubwa nadhani tushukuru tu kwamba waandaaji wameweza kutupa fursa ya kuona mdahalo huu. Kasoro ndogondogo tuzivumilie as long as tunapata information. Let's just appreciate their effort
 
Nimekereka sana na mdahalo wa startv wa marudio kwani picha na sauti zinakuwa za kujirudia na wala hakuna taswira ya kuonyesha tukio la mdalalo kama lilivyokuwa.Limekuwa lime editiwa na linapoteza taaluma za uandishi na aibu kwa TV na ninadhani kwa kuwa mmiliki na yeye ana kamwili ka gamba ndiyo maana haina picha halisi ya marejeo..nimekereka na kama sijawakilisha vema mnisamehe...Bado Mageuzi kwangu ni lazima
 
Nina uhakika studio wameuchakachua wanataka kumwangusha mwongoza mdahalo wanafanya hivyo wakati wanalipwa fedha kibao kurusha mdahalo wamechanganya picha na wanamuweka Kafumu na Mahona huku wamemficha Kashindya nadhani Star TV sio station aminifu huwezi kukubali kazi ya mtu halafu ukawa mwoga kurusha toka mwanzo midomo na sauti vilikuwa tofauti kabisa aibu aibu aibu aibu star TV mumejishusha hadhi forever
 
Back
Top Bottom