nyamasaka
Senior Member
- Aug 17, 2014
- 124
- 46
Mjadala huu ni wa elimu na viwanda. Mambo ya sura hayapo. Jadili mada
Kwani kuna ilani ya chama chochote iliyokua ikisema , tanzania kutakua na mgao wa umeme kwa kipindi kisichojukana?
Nasema nitawapima na kuwachagua kwa sura zao, sitaki elimi wala viwanda, atae tokea vizuri kwenye picha, atapata kura yangu.