geofreyngaga
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 667
- 974
Kama ulivyosema tuache ushabiki, palipo na ilim hakuna umasikin. Umasikini ni zao lakutokua na ilim. Sina uhakika kama viwanda pekee vinaweza kuondoa umaskin
Lowassa kipao mbele chake namba moja Elimu, namba mbili Elimu na namba tatu elimu.
Magufuli yeye kipao mbele chake Viwanda, Viwanda Tanzania nzima.
Wote hao juu wanaomba kazi kwetu, sisi ndio mabosi wao. Wametuambia watatufanyia hayo tukiwapa ridhaa ya kutuongoza.
Sasa tujadili yupi kati ya hao atakaye weza kutuvusha. Je Elimu itawezekana? Viwanda vitawezekana?
Nondo zenu zitasaidia sana kutushawishi sisi ambao bado atujaamua tumpigie kura nani.
Karibuni kwa mjadala wa maslai mapana ya Tanzania yetu. Mungu ibariki Tanzania, Ibariki Africa
Mkuu umesomeka vizuri sana.Kwa mtazamo wangu hizo ahadi za wagombea ziunganishwe kwa pamoja twaweza fika bila malalamiko. Lkn ukichukulia utoe kipaumbele kwenye elimu peke yake wakati bado tuna tatizo la ajira kwakweli tutaongeza genge la matapeli na wezi km hali ilivyo ivi sasa ya ukosefu wa ajira itaongezeka maradufu. Lkn pia ikiwa utatoa kipaumbele cha viwanda pia kutakuwa na ukosefu wa watz ambao wako competent kuendesha viwanda vitakavyoanzishwa. Ingawa upande wowote ule pekee utakuwa na faida zake mfano utakapotoa elimu kwa watu wengi itakuwa umeongeza creativity na ufanisi kwa wale wenye elimu ktk kufanya na kusimamia biashara au activities watakazo anzisha and so on. Ukianzisha viwanda vilevile yawezekana ukaongeza ajira hata kwa wale wa elimu ya kawaida.
Deduction: Mm naona mgombea yeyote atakaye pata nafasi ya urais, hivi vitu avifanye kwa pamoja ndio itasaidia saana.
Mkuu umesomeka vizuri sana.
Hujui unachosema...hivi hukusikia vijana wenye degree 800 walijitokeza kwenye interview ya uhamiaji kupata wafanyakazi kama 50 hivi?tatizo kubwa letu leo sio wasomi wa kuwaajiri bali ajira za wasomi hao, viwanda ndio jibu kwa sasa.