Mdahalo: Tuwapime Magufuli na Lowassa

Mdahalo: Tuwapime Magufuli na Lowassa

kwamtoro

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2010
Posts
4,922
Reaction score
3,244
Lowassa kipaumbele chake namba moja Elimu, namba mbili Elimu na namba tatu elimu.

Magufuli yeye kipaumbele chake Viwanda, Viwanda Tanzania nzima.

Wote hao juu wanaomba kazi kwetu, sisi ndio mabosi wao. Wametuambia watatufanyia hayo tukiwapa ridhaa ya kutuongoza.

Sasa tujadili yupi kati ya hao atakayeweza kutuvusha. Je Elimu itawezekana? Viwanda vitawezekana?

Nondo zenu zitasaidia sana kutushawishi sisi ambao bado atujaamua tumpigie kura nani.

Karibuni kwa mjadala wa maslahi mapana ya Tanzania yetu. Mungu ibariki Tanzania, Ibariki Afrika
 
Afadhali mwenye elimu kwa sabab hyo hyo elimu itatusaidia kuongeza wataalamu wa kuviendesha hvyo vwanda 2. Tukifanya vwanda 2taishia kuajiri 2 wataalamu kutoka nje kama ilivyo uwanja wa taifa na c ndan ya nchi na watanzania watakuwa kama ma day worker 2
 
Lowassa kipao mbele chake namba moja Elimu, namba mbili Elimu na namba tatu elimu.

Magufuli yeye kipao mbele chake Viwanda, Viwanda Tanzania nzima.

Wote hao juu wanaomba kazi kwetu, sisi ndio mabosi wao. Wametuambia watatufanyia hayo tukiwapa ridhaa ya kutuongoza.

Sasa tujadili yupi kati ya hao atakaye weza kutuvusha. Je Elimu itawezekana? Viwanda vitawezekana?

Nondo zenu zitasaidia sana kutushawishi sisi ambao bado atujaamua tumpigie kura nani.

Karibuni kwa mjadala wa maslai mapana ya Tanzania yetu. Mungu ibariki Tanzania, Ibariki Africa

First of all integrity matters hayo mengine ni simple.
 
Elimu kwanza. viwanda baadae.bila elimu hivyo viwanda utaviendeshaje pia tuacheni ushabiki lowassa.niyo anafaa kuingia ikulu.
 
Viwanda bila elimu tutaviendeshaje elimu elimu elimu elimu ndio inahitajika kwa sasa
 
Nani kakwambia utajenga Viwanda ndani ya miaka 5 wakati mmetumia miaka 34 kuviua
 
Unapimaje wakati kati yao ameshindwa kuyasimamia kwa miongo kadhaa na ameshindwa kueleza sababu na atafanya nini kurekebisha matokeo yake sote tunasikia yale akina Bulembo wanayonena
 
Elimu Kwanza. Wasomi watakaopatikana wataanzisha hivyo viwanda. Serikali iandae tu mazingira mazuri ya uwekezaji wa ndani.
 
Afadhali mwenye elimu kwa sabab hyo hyo elimu itatusaidia kuongeza wataalamu wa kuviendesha hvyo vwanda 2. Tukifanya vwanda 2taishia kuajiri 2 wataalamu kutoka nje kama ilivyo uwanja wa taifa na c ndan ya nchi na watanzania watakuwa kama ma day worker 2

kweli elimu ndio kila kitu
 
Swali la great thinkers linajibiwa na light thinkers ..lost urgument
 
elimu kwanza..umeme wenyewe wa timing.!hivyo viwanda vitatumia power bank.?
 
Ahadi za lowasa zinatekelezeka hata kwa short-run, viwanda vya magufuli inakuwa ngumu make nishati za kuendesha mitambo ya viwanda haipo, kama nishati ya kumulikia taa za nyumbani hivyo viwanda vitakula loss ya hatari kwa huu mgao wa umeme.
 
Back
Top Bottom