Mdahalo Star Tv: Nape, Jussa na Marando

Mdahalo Star Tv: Nape, Jussa na Marando

Hii midahalo mi naona mwishoni magamba wataipiga chini, kwani inawadhalilisha jana Tyson alichemka kwa mh. Mbowe akabaki kutaka kupigana.
Haya ngoja niandae dizel yangu mapema ili Ngeleja akifanya mambo yake niwashe ka tiger kangu.
Asante kwa taarifa mkuu, muda ni saa ngapi?

Mdahahalo wa itikadi za kisiasa leo kuanzia sa moja usiku statv kati ya Nauya CCM,Mabere CHADEMA,Ismail CUF,'kama NGELEJA ataruhusu'
Mjadala utahusu nini mkuu?Nafikiri 'siasa za vyama vyao ' ni too general.

uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!twafa wenzenu huku kwetu ukonga ngereja kisha chukua sijui kama atarudisha.

Natamani kusikia utumbo wa mvua gamba, najua pale kichwani kweuuupe.

Mdahahalo wa itikadi za kisiasa leo kuanzia sa moja usiku statv kati ya Nauya CCM,Mabere CHADEMA,Ismail CUF,'kama NGELEJA ataruhusu'

Magamba siwaamini amini wana kawaida ya kuingia mitini.

Mimi nangoja niosikie mropokaji ataropoka nini leo!

Leo Ccm na wao wajitahidi kujibu hoja sio kuanza kupaniki tu bila 7bu ya msingi

Hii midahalo mi naona mwishoni magamba wataipiga chini, kwani inawadhalilisha jana Tyson alichemka kwa mh. Mbowe akabaki kutaka kupigana.

Haya ngoja niandae dizel yangu mapema ili Ngeleja akifanya mambo yake niwashe ka tiger kangu.

Asante kwa taarifa mkuu, muda ni saa ngapi?

mkuu siku hizi Ngeleja amepewa jina jipya anaitwa Mr. MEGAWAT

Nape co saizi wa mabere marando, labda Warema mana Nape hajui ki2 mtoto mdogo cna hajibishana na baba ake irrelevant dibeate

kuanzia saa ngap?

Kama alivyosema mleta mada itakua MovenPick : muda ni kuanzia saa7:20 usiku hadi 9:20 usiku wakuu,kama unataka ushiriki kuna number wanatangaza mara kwa mara kwa yeyote atakaetaka kushiriki ila number ya sim sikuimeza wakuu na mara nyingi hili tangazo wanalitoa Star tv.

Kama muda ni kuanxia saa Saba usiku mpaka saa Tisa usiku, lazima watakaojaa kimahudhurio ni Walinzi wa usiku a.k.a Kolokoloni na Waanga. Msalimieni Shehe Yahaya mnaweza kuwa nae muda huo

saa 3:20 usiku

Kaazi kweli kweli......!!!!

Swali moja majibu matatu na yote yana utata...

Muda ambao Star Tv tulikubaliana nao ni KUANZIA saa 1.30 usiku (19.30, 7.30 PM)
NAMPAKA MUDA HUU HAKUNA MABADILIKO YA MUDA, HIVYO MNAOMBWA MUWE KARIBU NA TV ZENU NA KUTIZAMA FIKRA NA MITIZAMO INAVYOWEZA KUCHANUA NA KUTOA MUELEKEO WA TANZANIA TUITAKAYO.

huyu magamba ypo kimya sana siku hzi au hajapewa habari kimbea siku yingi

Back
Top Bottom