Tunataka mdahalo wa kina kuhusu masuala kitaifa tujue jinsi gani tutakaowapa dhamana wataendesha nchi
yetu , jinsi gani ilani zao zitatekelezwa, utamaduni huu ujengeke kwenye chaguzi zetu , tena sio tu kati ya wagombea urais wa vyama vya siasa , bali pia ndani ya vyama wakati wa mchujo (a.k.a kukatwa) , kama wenzetu wenye demokrasia imara wanavyofanya , wataokaoshiriki ndio tutawapima na ndio tukaowachagua , wasioshiriki midahalo inaashiria hawajiamini na sera zao hazitekelezeki, nachelea kusema ni "wasanii wa kisiasa"!
Hatutawamini bila kuwapima , jaribu kutafakari kama Donald Trump angekacha kwenye mdahalo wa Republican, au Obama wakati ule, Obama angekimbia , ingekuwaje ? Tujifunze kwa wenzetu , tuache kujitoa ufahamu kuwa hatujui umuhimu na mchango wa debates,ili tujenge demokrasia yetu iwe pana ,imara, ya uwazi , na ushirikishwaji wa wananchi.
Tume ya taifa ya uchaguzi pia iangalie ni jinsi gani hili linaweza kusimamiwa iwe ni lazima na sio hiari. Itoshe tu kusema , asiyeshiriki midahalo hana nia ya kujenga demokrasia yetu, na kwa maana hio hafai kupewa dhamana ya kuongoza nchi yetu, na hivyo ndugu zangu wasioshiriki tusione haya "kuwakata" tar 25 October !
Defiant Donald Trump dominates US Republican TV debate - BBC News