Atubela
JF-Expert Member
- Aug 15, 2011
- 749
- 851
Za kuambiwa changanya na zako, ulishuhudia idd Amin au Hitler akiua zaidi ya propaganda za wasioutaka utawala waoIdd Amini na Hitler ni viongozi wauwaji na madikteta, sifa ambazo ni kinyume kabisa na Lisu, labda unazungumzia utawala wa 2015-2020!
Siyo Lisu wala mimi ambao tumekataa kwamba hizo barabara na ndege, treni, siyo maendeleo! Tatizo ni vipaumbele, unawezaje kuacha kulipa watu stahiki zao ili kujenga miradi mikubwa? Kama angepandisha watu madaraja, kuongeza mishahara, kuajiri, basi hiyo miradi ingekua sawa. Lakini pia, nimevitaja hivyo vitu kukujibu kwamba, ukisema Lisu ni empty kichwani na hana sera, mbona ccm wanaimba ‘furayiova, barabara kiromita... ndege nk, kwa miaka yote mitano??! Ukianza kuona watu hawana akili, nao wataona ujinga wako pia! Na swala la kufungwa ufahamu, Wewe umefungiwa huko ccm pia!
Mara moja moja muwe mnaingia jamii interejensi muone mataifa makubwa yanavyokutafutia hila ili yakutoe kwenye uongozi kwa manufaa yao