Ashadii huwa napenda sana kusoma post zako kwani nanufaikaga nazo kwa sana tu. Ila hapo bold huyu baba wa binti yangu alinitelekeza kisa hiyo nyumba ndogo lol. Ila anampenda huyu binti yangu kuliko maelezo hapindui kabisa. Mimi naamini upendo kwa mtoto ni tofauti na upendo kwa mume/mke. Wako tofauti kabisa haiwezekani kulinganisha.
Babu DC nasubiria nikachumbie kwa Nyumba Kubwa sijui atakubali kunipa binti yake lolFor those who are still hunting....you are, the best and a rare catch!
Babu DC
Manyanza nashukuru sana kwa kweli mimi sijafikia kuwa na familia wala mchumba lakini naweza kusema uzoefu wa kukaa na watu na kupata maoni yao unasaidia sana binafsi nashukuru kukutana na hawa watu humu Asprin, Dark City (Babu DC), MwanajamiiOne, GY, Bigirita, Teamo, Kaizer ukikutana na hawa you wont regret at all i tell you ni hazina nzuri sana hasa kwa vijana.Asanteni wadau kwa michango yenu, kwa upande wangu mimi siwezi sema chochote maana hao watoto wenyewe sina na ukiangalia kwa upande wa mahusiano na mapenzi ndio kwanza nakimbizana na vibinti vya chuo....
lakini nimejifunza vitu vingi sana: The Finest, Mwana jamii 1, Asha Dii na wengineo michango yenu inatujenga sana sisi vijana ambao tunatarajia kuja kuitwa Baba/Mama...
The biggest mistake i see in some few mothers.
Kuna wamama wanaweka uhusiano wao na watoto wao ahead kuliko uhusiano wake na mume wake.
Kuna tatizo gani kwenye hili
1. Two married people are one flesh. A parent and a child don't have that relationship
2. To exalt the child over your spouse is to teach your child the spouse is not important
3. Children learn early if they can pit against the other
Haya huwa sio makosa ya mama
1. Sometimes a dad is elusive and stays in the background on purpose, hataki kujishugulisha na kujihusisha na watoto
2. Sometimes the in-laws interfere heavily with a mother and father God's given right to raise their own children
3. And yes, sometimes mothers express more love and attention to the kids than to dad
The Bible is clear on how husbands and wives are to be considered the male and the female side of the same person. One flesh. One unit. That's why the devil didn't touch Job's wife. She was part of him and God said for the devil not to kill Job, therefore he couldn't kill his wife, either.
Babu DC nasubiria nikachumbie kwa Nyumba Kubwa sijui atakubali kunipa binti yake lol
lizzy pamoja na yote naamini huwa kuna chapa tayari anakuwa ameiacha kwenye maisha yako na kila ukiangalia wanao kuna kivuli kinakuja kwanza ambacho ni baba wa wanao... Huwa inakuaje pale watoto wanapokuwa wakubwa na miji yao bado huwa wanaendelea kuwa wa kwanza kuliko wenzi wetu
Babu DC darasa nililokuwa napata kutoka kwako si haba naanza kuutumia uzoefu, siku hizi si mnasema mmetuachia sie vijana tuliendeleze gurudumuDogo,
Naona leo umeshukiwa na Roho wa bwana hadi unaongea vitu vilivyokuzidi umri....Lol!!
Mimi huwa nawambia watoto wanipishe niongee na mke wangu...Wasubiri wakio nao wapate muda zaidi wa kuongea na wake zao.
She is my wife...Period!
Umekwepa swali ehhh??
Nwy tunarudi pale pale kwenye THAMANI babu!!
Kusema hivyo hakuna maana kwamba upendo ndio unaolinganishwa bali thamani/maana/umuhimu na mengineyo.
MTM anachomaanisha (samahani kama nitakua nimekosea) ni kwamba iwapo itatokea mtu akataka kuumiza familia yake na akawa kwenye nafasi ya kuweza kulinda upande mmoja atalinda watoto. Mapenzi ya mke bado yapo pale pale...na ya watoto yako pale pale ila anachoangalia ni nani ambae hataki katu katu kumpoteza. Yani yupi ni irreplaceable kwake...thamani/muhimu zaidi.
If mine is a match to both...DEFINATELY MTOTO!!Mume atatafutiwa nyingine!!
Babu DC darasa nililokuwa napata kutoka kwako si haba naanza kuutumia uzoefu, siku hizi si mnasema mmetuachia sie vijana tuliendeleze gurudumu
Manyanza nashukuru sana kwa kweli mimi sijafikia kuwa na familia wala mchumba lakini naweza kusema uzoefu wa kukaa na watu na kupata maoni yao unasaidia sana binafsi nashukuru kukutana na hawa watu humu Asprin, Dark City (Babu DC), MwanajamiiOne, GY, Bigirita, Teamo, Kaizer ukikutana na hawa you wont regret at all i tell you ni hazina nzuri sana hasa kwa vijana.
Mpaka hapa nilipofikia nimejifunza somo moja gumu na linaloumiza sana.
kwamba wanaume na wanawake ni vitu viwili tofauti kabisa katika maisha ya mapenzi na upendo.
Nilichokuwa nakijua na ambacho naamini mpaka sasa kinaendelea
Mke anampenda mmewe saaaaana, pale wanapokuwa hawajapata watoto/mtoto
Mme anampenda mkewe sana pale wanapokuwa hawajapata watoto/mtoto
Nilichojifunza leo kwa mstuko
Mme anampenda mke hata kama ameshapata mtoto/watoto
Mke anampenda sana mtoto/watoto akishapata mtoto/watoto. Mme anakuwa namba mbili.
Swali kwa wanawake:
Ni kitu gani hasa kinawafanya mhamishie mapenzi yenu kwa watoto na kuwaweke waume zenu namba 2? Hapa tu-assume hakuna ubaya wowote uliotendewa na mmeo.
Inauma sana aisee!
babu shikamoo
nafikiri kila mtu anamtazamo wake kutokana na jinsi kila moja wanavyochukuliana kwenye maisha
kuna rafiki yangu niliwahi msikia anasema " hata akichelewa kuja nyumba sina shaka siku hizi mie na watoto wangu"
inaonyesha baba hanatime na mkewe inafikia mke anatamka maneno kama hayo......ijapokuwa upendo wa watoto na spouse ni tofauti
Mzee mwenzangu DC Retired Gen 1947 hapo juu,
Nakupigia saluti!
Hata kama wameamua kuhamishia mapenzi yetu kwa watoto wetu, sie tuendelee kuwapenda, kuwajali na kuwaheshimu. Ndio wajibu wetu kama wanaume.
Ila wakinamama hawa wangepata nafasi ya kukutana na mama yangu mdogo ambaye ni mjane labda wangeweza kunisaidia kuwelewa hii kauli yake ambayo huwa anaisema kila siku anapomkumbuka marehemu mmewe. Namnukuu
"Ni heri ningewakosa hawa watoto kuliko ninavyomkosa Willy (mmewe), Ningejua angekufa mapema namna hii nisingekubali kuolewa naye. Ukiwa na mme umpendaye sana, usiombe kuwa mjane". Mwisho wa kunukuu, na ikumbukwe si kwamba ana shida ya fedha, basi tu upweke.......
Shikamoo babu, naomba mpe bibi id yako apitie huu uzi wako,hakika unastahili sifa babu!Wanajumuiya salaam
Mie ODM wa wajukuu nimepitia sredi moja nikakutana na malumbano ya "who comes first" linapokuja swala la nani zaidi kati ya watoto Vs Mke/mme kwenye familia. Yaani who comes first kwenye kupenda, kujali, kujivunia, kujisifia etc.
Hebu angalieni hii misimamo
Wa kwanza
"My kids drive me crazy, i love them to the core...... they are sooo nice to me, and they are the force behind my search for a greener pasture, and no one can change it
I have never felt that love from anyone in my life, no broken promises, no late appointments, no excuses no questions and no arguments nor inspections and poking of my private life....they are just beautiful trusting creatures
Kwa wanangu, nothing comes before them, i can take bullets"........... MTM
Wa pili
"I love my kids more than their mum, period!
unconditional love!"..................... Mbu
Wa tatu
"Nyie watu sio kwamba mnatumia unvariable measures kupima upendo kwa wake/spouses wenu na watoto wenu?
Mnasema they have pure love, they have uncondition sijui nini, c'mon guys what do you expect? wabehave kama wake zenu kwani wao ni wake zenu? There is no way mtoto atakupenda tofauti kwa kuwa ni mtoto na katu huwezilinganisha trust yake yeye kama mwanao na ile itokayo kwa mkeo! Kila mmoja anaplay kutokana na nafasi yake katika maisha yako bwana hebu acheni hizo!
Mlishawahijiuliza how do we feel (and the same linaapply kwa wanaume) when you put much love, time kwa watoto wetu zaidi ya wenzi wetu?! au tunajiona ni right kwa kuwa tu ni right na mnaashumu inaeleweka kwa kuwa tu inaeleweka?".................... MwanajamiiOne
Source: https://www.jamiiforums.com/mahusia...0-the-best-way-to-breakup-is-there-any-3.html
Nilitaka niweke na mie kamsimamo kangu kule lakini nikaona hili linahitaji mjadala unaojitegemea.
Kwangu mie wife comes first kwa kuwa:
1. Nilimpenda yeye hata kabla hatujapata watoto
2. Tusingejaliwa kupata mtoto nisingekuwa na option, angebakia kuwa yeye
3. Yeye ndiye aliyenizalia hao watoto ambao wengine ndo wanasema "wanawapenda zaidi ya mama zao
4. Ndiye chaguo langu la ukweli, sina uhakika kama hao watoto ni damu yangu kiukweli
5. Ndiye msaada wangu mkuu napokuwa matatizoni, nikiugua anavyo nihangaikia, nyie acheni tu!
6. Nikirudi nimepiga maulabu yangu, ananifungulia mlango na kunitengea chakula bila kinyongo
7. Anahakikisha niko nadhifu,
8. Napokuwa nimechacha ananielewa na kunivumilia
9. Alikubali kwa hiyari yake kuyapiga kibuti midume yooooote iliyokuwa inamsarandia akaja kwangu tena kwa kiapo kuishi nami katika shida na raha mpaka Ziraili atakapoamua kufanya vitu vyake.
Msimamo wangu:
Raha kwa watoto ni kuwaona wazazi wakipendana na kisha wao wazazi kwa pamoja kuwapenda watoto.
Baada ya kusema hayo naomba kusikia na wengine wanasemaje.
Niko kitandani huku, nawaangalia tu.
Onyo: Hairuhusiwi kuchakachua.
Refarii wa Sredi: PAW.