nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,398
Nyumba Kubwa....mbona wapo wanawake weengi mno wakatili
kwa watoto wao????
mfano mama wakwe.....hataki 'love ' (binti)ya mwanawe wa kiume kwa kumchukia tu
binti aliolewa.......
hakuna 'unconditiona love' kwa kweli siki zote 'love is a selfish thing'
utasikia kama unanipenda na kuniheshimu mimi mama yako 'muache ' huyo mwanamke'....
bila kujali mwanao ndio 'love ' yake huyo...
Hahahaa Boss...seriously kuna watu humu wana pea-sized brains. Wakiona kitu tu wanaamini moja kwa moja. Akija mtu hapa na kusema eti Boss ndo NN...kwao hiyo itakuwa gospel truth.
Sasa eti mimi na AshaDii wapi na wapi? Ukiwauliza what makes you think I'm AshaDii? You either hear it's because AshaDii writes good English or they just bumble and flounder through their explanations. They can't even string together a coherent sentence.
It's funny and absurd but worst of it all it's sad.
It is rare...but it's there!!
Kwani hujawahi kuona mtoto wa mtu ana tabia za ajabu (mwizi/jambazi/mkorofi n.k) na mzazi wake anajua ila anakua uande wa mwanae .Anamtetea na hamtengi????
Heshima na kusikilizwa ni kitu ambacho kila mzazi anakitegemea toka kwa mwana/wanawe ila sio wote wanapata. Na kwenye hao wanaokosa hayo toka kwa watoto wao sio wote wanaowatenga....hivyo wanawapenda unconditionally.
Hahahaa Boss...seriously kuna watu humu wana pea-sized brains. Wakiona kitu tu wanaamini moja kwa moja. Akija mtu hapa na kusema eti Boss ndo NN...kwao hiyo itakuwa gospel truth.
Sasa eti mimi na AshaDii wapi na wapi? Ukiwauliza what makes you think I'm AshaDii? You either hear it's because AshaDii writes good English or they just bumble and flounder through their explanations. They can't even string together a coherent sentence.
It's funny and absurd but worst of it all it's sad.
Nimechanganya mambo kivipi tena? Boss kazungumzia kuhusu unconditional love ya wamama na akatolea mfano wa mama kumkukuza mwanae kwa sababu ya kuharibikiwa.
Sasa huoni kuwa utoaji mimba (hasa ule wa convenience) na kuzaa na kutupa unaingia kwenye mlinganyo wa hiyo so called unconditional love? Au wewe unauona utoaji mimba na utupaji wa watoto ni unyama uliopitiliza na uko kwenye kiwango cha kipekee? Kama ni hivyo basi wala sina ubishi na wewe.
Hayo maneno haya maanishi kuwa mama ampendi mwanae wa kiume ila ni obsession.
Mfano mimi Boss to be honest nampenda saana mume wangu; lakini sitakaa nijibaraguze kuwa nampenda kuliko mama yake anavyompenda; that mother is crazy for her kids na nalijua hilo.
Na urafiki (si mapenzi) wangu na mama mkwe ni under the condition kuwa na mtreat mtoto wake right. Nina hakika akijua ninamyanyasa mwanae in any way hapata kalika.
sikusema hampendi but nasema je ni 'unconditional ' ??????
kwa maana ya unconditional 'mapenzi yasiyo na ku demand unaempenda afanye hivi wala vile..
chochote kile atakachofanya wewe huna tabu....
kwa maelezo haya basi hata 'unconditional love' hutokea kati ya mke na mume pia..
Boss ku demand afanye hiki na kile haina maana kuwa asipofanya basi mama anakoma kumpenda mwanae; that is why nasema hata wamama wenye gubu kwa wakwe zao bado wanawapenda watoto wao wa kiume bila conditions though wengi wanakuja kuchukia wajukuu ila katu si kuchukia watoto wao.
which means hakuna 'unconditional love' hata kwa wamama
mapenzi yapo but yana conditions.......
Hujanisoma vizuri, ni vice versa.
Unconditional love is when different parameters are thrown into the equation, the couples continues to love each other. For example a guy loses his job and is broke, or a woman that gets paralyzed from the neck down najua hiyo kwenye red haujakutana nayo BossHalafu hii 'Unconditional Love' ndio ipi hiyo?????????
mimi navyojua love zote zinakuja kwa conditions......
kwa mke utataka awe muaminifu kwako,akuheshimu na kadhalika...
kwa watoto utataka wakusikilize,wawe na heshima na adabu,wafuate ushauri wako na kadhalika....
mpaka leo sijawahi kukutana na 'Uconditional love'......
au labda siielewi??????????
Ngoja na mimi nikubaliane na wewe.Mimi jamani sijui kwa nini ninaamini siwezi kulinganisha hawa wawili! Mwanangu/wanangu niwapende lakini baba yao will always have that special place. Nimpende mume wangu the same nitakavyowapenda wao.
Naombeni tu nikubali kutokukubaliana kwenu!
Mimi jamani sijui kwa nini ninaamini siwezi kulinganisha hawa wawili! Mwanangu/wanangu niwapende lakini baba yao will always have that special place. Nimpende mume wangu the same nitakavyowapenda wao.
Naombeni tu nikubali kutokukubaliana kwenu!
wanao wana miaka mingapi?
Mimi jamani sijui kwa nini ninaamini siwezi kulinganisha hawa wawili! Mwanangu/wanangu niwapende lakini baba yao will always have that special place. Nimpende mume wangu the same nitakavyowapenda wao.
Naombeni tu nikubali kutokukubaliana kwenu!
Hili nalo neno. Umri mdogo.