Hawa viumbe hatujui wanataka nini
HahahahaHata wao unadhani wanajua wanataka nini..??
Atakwambia intelligent nigga, tallest guy in the world, six packs, big pipe with big balls, charmig, na makorokoro meeengi,,..! Atokee thatha kama huyo na mwenye pessa uone atakavyoonwa Nnya ilonyeshewa mvua., !!
Hawa viumbe hatujui wanataka nini
Mmhh! Tunaeleweka bana tatizo mmeshajijengea kwamba wanawake hatujui nini tunataka.Kama Muumba wao aliwapa nyusi na wanang'oa zote na kujichora upya.. My friend hutokaa uweze kuwaelewa hawa mama zetu..
Hujataka kujua tu [emoji2] [emoji2]Hawa viumbe hatujui wanataka nini
Safi sana, I hope na wewe utakuwa intelligent.As for me all i want is an intelligent nigga thats it
Wewe unataka sifa ipi??Mmhh! Tunaeleweka bana tatizo mmeshajijengea kwamba wanawake hatujui nini tunataka.
Shida mnataka wanawake wote wafanane wanavyovitaka wakati haiwezekani kwa sababu hata nyie wanaume mpo wa kila aina.
Kabisa mkuu.....[emoji2] [emoji2]Mkuu kwahiyo hii ndo sifa kuu.