Mdada wa usafi kazini...!!!!

Alipotoka kukuimbia wimbo alimsimulia rafiki yake ambaye huwa anasoma JF bila akaunti. Rafiki huyo amemuonyesha uzi wako na amesema ulitumia uhuru na utashi wako kumkataa ulifanya vema na yeye ameheshimu. Sasa mbona imekuwa matangazo, anaomba umusamehe tu kupenda kubaya na mwanamke akipenda anaitwa malaya, ndivyo tulivyo.
 
Yaani wanawake bana, ukiwaonesha tu ukarimu hivi, tayari umependwa! Mi haya yameisha nikuta sana tu wala sio kidogo, tokea miaka ile ya 90's hadi sasa! Sometimes hata nikiwa nasafiri, utasikia please kaka naomba simu yako ni- mbeep mwenyeji wangu, jibu langu hawaga rahisi tu, "We piga tu hata dakika 5 ongea usijali" Hapo hapo utakuta umeanza kupendwa, siku nyingine hi hapa, tunatoka zetu Dar kwenda Mwanza, mara basi likapata shida ya kiufundi, watu wakaanza kuomba pesa kwa ndugu zao, binti 1 akawa hata haelewi afanyaje, nikamwambia, waambie wakutumie kwenye simu yangu then mi naku-cash, heee wasichana wenzie wakajua tayari kampata mwanaume! Shida kweli kweli, siku 1 uzalendo ulinishinda, Singida hiyo......!
 

Haaa..shida changanya na mapenzi ni hatari sanaa..
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…