Mdada wa usafi kazini...!!!!

bahati hizi mnazichezea sana nyinyi watu ..huyu mi ndo angenifaa...maana ningekuwa anarudi kati asubuhi mchana na jioni
 
aisee mkuu taratibu kwa hiyo wachagga kwenye hela tunatongoza si sawaa aiseee tunaaibu na sisis huyu ni mmbulu... au la sivyo kozo okamoto aje atoe jibu ni kabila gani?
 
Kaka, usilaze damu, hiyo ni mechi ya kilafiki kuangalia kama bado uko fit au ushapitwa na wakati , siku hizi kuna formation mpya nyingi!
 
la darini speed ya 5 akiweka tu anaanza kukata kiuno

hahaha umenikumbusha gesti moja hivi tandika wakati wa ujana wangu...yaani mtu unaduu kwa wasiwasi kweli,maana lifeni linavyozunguka utafikiri na lenyewe linakata uuno,yaani unakuwa na wasi wasi ukidhali litakuangukia.yaani mtu unaduu kwa hofu sana
 
toba!!! hivi hakuna uwezo wa kubadilisha damu na kuweka maziwa mwilini?...nataka niwe na damu ya maziwa

hakuna anakuekea ya ile aliyeekewa mwakiembe inanyonyoa nywele zote huku ukiwa unakufa polepole tena huna uwezo wa kwenda nje ya nchi utatoka hadi chululu idondoke chini ndo ufe he he he he
 
hahaha umenikumbusha gesti moja hivi tandika wakati wa ujana wangu...yaani mtu unaduu kwa wasiwasi kweli,maana lifeni linavyozunguka utafikiri na lenyewe linakata uuno,yaani unakuwa na wasi wasi ukidhali litakuangukia.yaani mtu unaduu kwa hofu sana

ha ha ha hq ha kozo okamoto nimecheka mpaka kile kinywaji nakisikia kichwani sasa uwiiiiiiiii kwa hiyo unaduuuu kichali chali ila ulivyokuwa mbishi mpaka ukoje uwiiiii
 
Kaka, usilaze damu, hiyo ni mechi ya kilafiki kuangalia kama bado uko fit au ushapitwa na wakati , siku hizi kuna formation mpya nyingi!

na umri huu nishajichokea mkuu,formation yangu ya kawaida kabisa 4-4-2,hizo 4-3-3,4-5-1 au kupaki basi mi siziwezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…