sijui hii ni ya ngapi aiseee mpaka nimekufa ganzi
kozo okamoto wewe Ni Mjapani WA Nkasi sehemu gani?
Kweli tuna safari ndefu. Siwezi kuamini watu na elimu zao wanachangia ujinga kwa issue ya kijinga. Vitu vingine ni ushamba tu. Hivi hicho ni kitu kinahitaji ushauri kweli? Hebu tuache utani tuwe realistic japo kidogo. Hivi unawezaje kumdhalilisha mkeo kiasi hiki ndugu yangu? Yaani mkeo ni wa kuweka pembeni na mawazo yako yoooote na elimu yako yoooooote vikaanza kumjadili mtoto mwenye dhiki ya maisha tena mdogo kwa umri na umbo kuwa iweje iweje wakati mkeo yupo na nina uhakika sio wa class ya chini kiasi cha huyo mtoto?
Huenda umeona usaidie watu wenye kukutana na majanga haya kupitia mijadala hii maana inaonyesha kabisa wewe una hekima na huhitaji huo u"/chi wake. Ila kama unahitaji ushauri wangu pia ni huu:
Weka mbali na watoto! Huo ni moto rafiki. Kwa umri uliousema na umbo lake kuwa ni mdogo lakini nature ya kazi yake inamganya awe mkubwa automatically maana anakutana na watu wengi wa tabia tofauti. Wengine akiingia kusafisha wanafunga na mlango. Wanasafishana. Wengine humtomasa tu kwa kumshikashika, wengine humtaka awanyonye n.k, n.k hivyo ni mtoto physically lakini ni mkubwa logically. Wengi wamepotea ndugu. Na pia, huoni hata aibu bro? Mfanya usafi? Hata mtu akijua atesema ni mapenzi au unyanyasaji kupitia ofisi? Usimuige Clinton maana hata kama alidu lakini huyo Lewinsky umemuonaaaa? Ni noma baba. Akili mkichwa ila familia kwanza!
nakumbuka nliwahi pewa zawadi ya boxer na muuza matunda wa ofisi .......ziliishia dustbin
Hisia sometimes zinachezaga shere!
Naamini huyo binti ni jasiri sana, ila medanganywa na tips zako ukichanganya na shida zake basi akawa hana jinsi ni vzr umemuweka wazi!
Mi huwa naamini sio kila mwanamke unatakiwa ulale nae, for doing that umejenga reputation! So next tyme, ukiwa unachagua mtu wa kampani utachagua aliye bora zaidi! yaani its a reference point ...................
siku moja moja mpeleke mkahawani ili abadilishe mazingira
Yani kananogaje! Ukionja utataka tena tena na teeena....
Uyu atawezea wapi vya mkahawani? Hayo ni mashkoromageni kwake.
Mmmhhh hatari ila chunga ndoa yako mkuu
You were totally wrong....
Mizoga mingine haliwi hata kama ungetia ndimu na limao zote....
You just leave them for their owners....
Babu DC!!
anaongeza na Kupunguza sababu ana dada ake anatwa Kamto...ni ni balaaaaaaaa!!
Wadau salaam,
Kuna mdada mmoja wa usafi pande zangu za kazi,kwangu ni kama mdogo wangu kwani tumepishana sana kwa umri na hata umbo (ana kaumbo kadogo,na umri wake kwangu ni mdogo pia).
Amekuwa akiniheshimu sana tu,shikamoo za kutosha but juzi kati kanitia kwa majaribu.Huwa tunakawaida ya kumuagiza chakula na yeye pia tunamnunulia au hata sometymz anaweza kuja akakuomba hela ya kula au ya nauli,binafsi huwa nampa nikiwanayo.
Kwa muda wa mwezi mmoja sasa amekuwa akinionyesha dalili za kimapenzi but nikawa napuuzia tu na pengine nilidhani labda ninamuhisi vibaya.
Juzi kati kaja kuniomba hela ya lunch na akaniambia anashida,anaomba tuongee kidogo,basi tukatoka kwa nje ofisini ili tuweze kuongea,alichokisema nikabaki mdomo wazi...nanukuu."kaka kozo mi hapa nilipo sina mwanamme wa kunitunza,unaonaje ukiwa unanipa vijimatumizi vidogo vidogo halafu ukinihitaji nitakuwa nakupa kampani"
Sikuamini kama angeweza kuniambia kitu kama kile but nilimueleza siwezi kutoka nae lakini kama atakuwa na shida basi anione tu kama nitakuwa na uwezo wa kumsaidia basi nitafanya hivyo.
sometymz sijui ujasiri huu unatoka wapi
tobaaaaaaa!!!! naanza kuhisi naibiwa,kama mikahawani huwa siendi sasa nani huwa anakanogesha?,miss chagga,nishaibiwa huku
huyu "valentina"anaweza akanipoteza,huko chini ya mikahawa hapana!!!
nakumbuka nliwahi pewa zawadi ya boxer na muuza matunda wa ofisi .......ziliishia dustbin