Mdada unaogaje?!

Mdada unaogaje?!

Yaani unakutana na Amita huyu hapa.
Afu wanaume wenye hio hali kwa kupenda kunyonywa🙌🙌, sijui hawaoni kama wanatusumbua?

Yaani lile lipingili linavyotisha jamani!
Pesa hizi zitatutoa roho jamani!
Mungu aingilie kati tu kusema ukweli!!
😹😹😹😹 Kwahiyo unafanya hivyo sababu ya pesa?
 
Mwanamke unakuwaje na kiharufu
Osha hizo nywele zisinuke,usikae na nywele miezii hadi zianze kutoa harufu
Safisha uso huo usiwe kama umemwagiwa pumba, ukiweza tafuta face wash uso uwe na nuru

Shingo hiyo isugue vizuri isiwe nyeusi kama ya mbuzi
Shuka kwenye manyonyo hayo sugua chini ya ziwa kuna tabia ya kutengeneza weusi, sugua vizuri katikati ya ziwa hapo pasiwe peusi

Sugua mgongo huo,shuka hadi mstari wa ikweta huo jasho la huko linatoa harufu si mchezo,sugua na unyoe hivyo vidaka ushuzi

Sugua wowowo hilo fanyia scrub hivyo vipele vinaisha, hakikisha linakuwa soft jamani sio gumu kama tairi 🤣
Ukimaliza lipake body oil lilainikeee

Sugua kwapa,nyoa hizo nywele za kwapa ndo maana kiharufu hakiishi,tumia limao kutoa harufu ya kwapa kama deodorant ya afu tatu imekushinda

Huko kwa bibi nyoa, safisha mashavu ya bibi nje na ndani, ukitoka period fanya steaming kutoa hiko kiharufu cha period.
Ukiweza kufanya waxing fresh!ukiweza kunyoa kwa shaving cream sawa,mradi tu usiwe na manywele huko

Sugua ulimi huo usinuke mdomo ni kero sana,meno yawe safi tumia mouth wash msichana unanukaje mdomo

Kucha zako hakikisha ni safi kama unafuga hakikisha ni safi kama ni fupi hewalaaaa, kama rangi paka ijulikane

Acha kutumia mkorogo
Acha kubadilisha wanaume nayo ni uchafu
Kunywa sana mtindi
Kula matunda
Acha kunywa energy drinks sio nzuri kiafya
Ukiweza nunua sunscreen jua sio zuri kwa ngozi
Hakikisha unanukia vizuri
Hakikisha una chupi nzuri

Mengine ongezeeeni...I come in peace ✌️View attachment 3287037
Wewe ndiye pisikali sasa. Hiyo lotion ya Palmer's inauzwa bei gani?.
 
Mtu unamuheshimu vizuri tu akivua jeans ndani ana pensi la yanga 🤣🤣🤣🤣
Ukimuuliza, anakwambia yeye Yanga kindakindaki.
Namna hii atashindwaje kubaki na uvundo Missy Gf?

Pia kuna wale wanaokuja wako uchi, hawa hawataki mambo mengi sijui kuanza kuvua vua mapensi au chuppi.
Hawa nao unawazungumziaje Missy Gf?
Ni sawa kwenda uchi kwa mpenzi wako?
Tupe darasa....
 
Kuna dada huku mtaani nadhani anazingatia sana usafi na karibu yote hayo uliyoyaandika anayazingatia, ila sasa akienda kuoga then na ww ukifuata lazima bafuni ukutane na udongo chini kumbe ni idadi ya mafuta na manukato anayopaka hvy akioga yote yanaanguka chini.
Teheeeeeee kumbe anajisiliba sana sijapenda
 
Wakikutana na kiharufu cha samaki wanavaa chupi zao kichwani kama helmet 😂
Mm sijawahi kukutana na mwanamke anayenuka ila nshawah kukutana na mwanamke sio mtamu ikabidi nmkimbie mana nlkuwa sifurahii tendo 😎
Hv kumbe na nyie huwa mnajua kama huyu demu mnato au sio!
Duh, basi nikajua ili mradi mkojoe tu ila mengine mbele kwa mbele.

Ila chupi yenye odour ya qumma original inavutia sana.
Yaani kiharufu chake tu waweza piga bao nje ya muda😅
 
Dah bc mm bado sana kuhusu wanawake, sijawahi kukutana na wanawake wa namna hy labla kwa sababu Mm sio tombatomba, hua nakutana na suruali + chupi au sketi + chupi tuu 😎 hao wanaokutana na vikaptula vya jezi nawapa pole 😂
Kuna wenzako huko wanapata shuruba kila iitwayo leo.
Pole,yaonekana una mmoja mwaminifu.

Kuna wanawake wamehifadhi vingi miilini mwao, nguo ikivuka ghafla unaweza zimia😛
 
Back
Top Bottom