Mdada unaogaje?!

Mdada unaogaje?!

Mwanamke unakuwaje na kiharufu
Osha hizo nywele zisinuke,usikae na nywele miezii hadi zianze kutoa harufu
Safisha uso huo usiwe kama umemwagiwa pumba, ukiweza tafuta face wash uso uwe na nuru

Shingo hiyo isugue vizuri isiwe nyeusi kama ya mbuzi
Shuka kwenye manyonyo hayo sugua chini ya ziwa kuna tabia ya kutengeneza weusi, sugua vizuri katikati ya ziwa hapo pasiwe peusi

Sugua mgongo huo,shuka hadi mstari wa ikweta huo jasho la huko linatoa harufu si mchezo,sugua na unyoe hivyo vidaka ushuzi

Sugua wowowo hilo fanyia scrub hivyo vipele vinaisha, hakikisha linakuwa soft jamani sio gumu kama tairi 🤣
Ukimaliza lipake body oil lilainikeee

Sugua kwapa,nyoa hizo nywele za kwapa ndo maana kiharufu hakiishi,tumia limao kutoa harufu ya kwapa kama deodorant ya afu tatu imekushinda

Huko kwa bibi nyoa, safisha mashavu ya bibi nje na ndani, ukitoka period fanya steaming kutoa hiko kiharufu cha period.
Ukiweza kufanya waxing fresh!ukiweza kunyoa kwa shaving cream sawa,mradi tu usiwe na manywele huko

Sugua ulimi huo usinuke mdomo ni kero sana,meno yawe safi tumia mouth wash msichana unanukaje mdomo

Kucha zako hakikisha ni safi kama unafuga hakikisha ni safi kama ni fupi hewalaaaa, kama rangi paka ijulikane

Acha kutumia mkorogo
Acha kubadilisha wanaume nayo ni uchafu
Kunywa sana mtindi
Kula matunda
Acha kunywa energy drinks sio nzuri kiafya
Ukiweza nunua sunscreen jua sio zuri kwa ngozi
Hakikisha unanukia vizuri
Hakikisha una chupi nzuri

Mengine ongezeeeni...I come in peace ✌️View attachment 3287037
Je kwenye mgodi
 
Ukiona mwanamke wako anatoa harufu sio ya kawaida ujue ana maambukizi..!!
Km ni jasho la kawaida mbebe mkaoge na hakikisha mnasafisha sehemu zote za milango ya fahamu..!!
Nitaitangazia dunia na wanawake wote wajisafishe vzr na kwenda hospitali 😎
 
Unakutana na kitu hicho mpaka unajiuliza huu mwili unamilikiwa na huyu mhusika ambaye niko naye hapa au vp 😂

Anyway, dozi ipo pale pale mana kichwa cha chini hakielewi kitu kikiwa na mizuka yake.
Hiko kichwa cha chini mnakipa shuruba jamani🙌🙌.
Mkimaliza dozi ndio unakaa kujiuliza hv nimepita pitaje hapa😅?
Kuna mada iko humu ya mambo hayahaya ya kunuka nyuchi🙌, aisee wanaume mna pepo yenu wallah!!!

Sema nini, kuna wengine wanasema wanapenda kile kisamaki wakati wa tendo!
Ndio kinawapa mzuka!!
 
Nimecheka sana🤣🤣🤣
Madame B uko vizuri mpwa!!
Mpwa, hujawahi kutana na harufu ya kisamaki katika upambanaji wako eeee🤔
Yaani kile kinapenya kuanzia kwenye chuppi, tight, jeans mpaka kinatokeza nje.
Na haya madawa tunayoweka huku ukeni ili kufanya mbunye iwe na mnato ndio mengi husababisha hizi harufu za ajabu ajabu.

Mwanamke unavua chuppi yako unainusa mpaka mwenyewe mmiliki wa chuppi unasisimka kwa harufu 🤣
Na hasa ukute wenye misambwanda kuna ile rangi inayojitokeza katikati ya makata 💩 ni shida!!!
Unapanua msambwanda unakutana na rangi mbilimbili.
Usipokuwa msafi lazima unuke mwaka mzima!
 
😹😹😹 Hivi ile order yetu ya half man iliishia wapi?
Demi wewe mzigo wako ulipata?? 🤣
🤣🤣🤣🤣🤣
Nyie watoto😅😅
Nyie si mlisema mnataka kitu og, kile kinawafanya msikojoe haraka?
Itakuwa Demi alipata ndio maana kakaa kimya mpaka leo😁.

Mie ninalo lingine sema nimeongeza tu inch😂😂😂.
Lina mpaka vinywele nywele vya kipilipili kabisa.
Dunia simama nishuke😉😉😉
 
Back
Top Bottom