Urban Edmund
JF-Expert Member
- Mar 20, 2018
- 2,277
- 3,661
hapa ndo tutakapogandwa kama ruba hata ufanye vituko vipi mtu akuachi ng'o
Mkuu wale wa vile unafanyaje?hapa ndo tutakapogandwa kama ruba hata ufanye vituko vipi mtu akuachi ng'o
Make kwanza ncheke mie Niko paleeeeBro namtaka boss wa PSG na shemeji kiranga kasema swahiba ake ko nishindwe mimi tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa ndio nataka tukionana nimshawishi aje anunue na makolo fc kina Mbappe waje wacheze msimbazi [emoji2222][emoji2222][emoji2222]
Dem ukimwambia unamwacha atavimba kichwa dawa ni kimya kimya tu😂Duh poleni mnaoachwa mi huwa nabembelezwa na kupigiwa magoti, kote ninakopita ila bado huwa nawapa vibuti, sipendi usumbufu kabisa
😂😂😂 Wambwaweee!Mimi kitakachoniloga nakijua mwenyewe.
Make kwanza ncheke mie Niko paleeee
wa namna gan mbn sijawajua ?Mkuu wale wa vile unafanyaje?
Mimi walaaaaah nakutishaje sasa kwa mfano endelea mnyapio ya SA😂Usintishe banaa weeee!! Ebu niwacheeee [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wale wanaokuganda kama ruba hata ufanye vituko vipi mtu akuachi ng'o.wa namna gan mbn sijawajua ?
Hahhaha akishaona getho limefulu kila mazaga hususani misosi nakuganda lazima🤣Wale wanaokuganda kama ruba hata ufanye vituko vipi mtu akuachi ng'o.
Mimi walaaaaah nakutishaje sasa kwa mfano endelea mnyapio ya SA[emoji23]
Una mume tena? Kwa hiyo yule tycoon basi tena?Bas sitaki teena, kwanza nna mume miye namuachia nani huku!!!? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aende tu cocastic
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndiwoooo uduguuuuMmekuta tena sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyokoooo zakoo weeUdugu nati hazikazi, unajambaje sasa?!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi shem kashanihakikishia yule boss swahiba wake na mimi swagger zangu hachomoki lazima nimpate tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aje awekeze Makolo fc na kina Mbappe wote waje kucheza msimbazi eboooh!!![emoji2222]
Usinambieeee?? Akukabidhi na ofisi yake ya kibaha.Shem hataki kurogwa sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Twende banaa mwenyewe nataka nimroge CW anikabidhi hati ya ghorofa lake [emoji2222][emoji2222][emoji2222]
Nakujaaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha njoo nikutengeneze utumbo huo maana utaacha kamwe[emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ushaogopaaa mara hii uduguuu??Bas sitaki teena, kwanza nna mume miye namuachia nani huku!!!? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aende tu cocastic
block inahusikaMkuu wale wa vile unafanyaje?
Tulikutuma uanzishe mjadala wakuleta hao wa mtu uko na mme badala ya kumpa mbususu mda huu uko unachati🤣🤣hii ichi inamahusiano ya ajabu kwerBas sitaki teena, kwanza nna mume miye namuachia nani huku!!!? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aende tu cocastic